Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Ndo maana hujui kuwa ukoloni ni nini! Nadhani wewe ndo unatakiwa kutulia!Kaka, tulieni, sijui hapa watu wanatusiana nini??? Mambo ya ukoloni sijui yausikana aje na mada. Kila mtu hivi ajue kunatofauti ya Kenya na Tanzania.
Tanzania ipo kwenye karne zenye Kenya ilikuwa miaka arobaini iliyopita.
Hili halina ubishi, Ashakum si Matusi. Huu ni ukweli hata kama mchungu
Magufuli, doing things Moi was doing in 1974
![]()
Moi in 1974
![]()
But this is what Uhuru, The President of Kenya does
View attachment 509715 View attachment 509717
View attachment 509718 View attachment 509719 View attachment 509720 View attachment 509721 View attachment 509722
Yaani kwa akili yako unaona kusimama na kupiga picha na wazungu ndo maendeleo! Oh my God! Ukoloni hautakuisha kabisa wewe!
Ingekuwa hilo tu Tz tungekuwa mbali sna maana JK alipiga picha na wazungu wengi sana!