Mkuu inaonekana unapajua sana hapa!Sio umoja phase 2 au buru buru[emoji23][emoji23]
Sasa hivi wanaona aibu sanaNyie enzi za mtu wenu mlikuwa mnafurahia kila ujinga aliokuwa anafanya
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Ishu sio kuwaogopa, wao wakenya wanatoshana huko kwao kufanya hizo kazi?
Mkuu inaonekana unapajua sana hapa!
Poa mkunwa karibu sana NairoooooMara yangu ya kwanza kufika kenya nilifikia Buru buru, napajua vzur sana Yan baadae Ndo nikahamia Ngong road
Aiseee!Kenyan's intelligence is high than ours.
Wacha kuwatisha watu wacha watu sasa wapige biashara ili wajiingizie kipatoMtego huu...mama awe mwangalifu. Sio kirahisi rahisi hivi
Eeeenh Heeee!..utasikia viongozi wa CCM wanasema vijana wajiajiri au wachangamkie fursa za soko la ajira kenya. Mama amepigana vijana wapate ajira kenya.🤣
Wakiruhusiwa wao si mtalala njaa maana watanzania biashara zetu ni za uchuuzi tu!Waruhusiwe na wao waje tufanye biashara kukuza uchumi wetu
then inaonekana sisi tumelala.. kama tunawaogopa sababu wako sharp. ina maana sisi tupo shallowTutafurwa tukiruhusu wakenya waje bongo I’m telling you , wakenya wako sharp sana wale
Wote mtakuwa wamachingaMtego huo. By so saying, he envisages 'reciprocity'
In terms of capacity (qualification) watz wengi hawana uwezo wa kuexcel kwenye white-collar jobs in Kenya.
Pia, wakenya wana roho mbaya, na ni watu ambao ni very aggressive when it comes to opportunities. Mkenya hana ile sense of 'undugu & ujamaa'. So mtz ndezi ndezi hawezi survive kwenye business atmosphere ya nchini Kenya.
Labor force ya Kenya ni very skilled! Wakenya wakimwagika hapa nchini, watz tumekwisha!
Rais Samia asiingie kwenye huo mtego wa kitoto.
-Kaveli-
makav live. ndio tunavuta miguu baadae tunatafuta mtu wakumbebesha lawama. this is tzWaje tu si wanakuja na pesa zao hakuna shida sisi tunaambiwa njooni kenya mfanye kazi au biashara watu wanavuta miguu
we are not capable. and that is the truthAre we capable to compete with
Kenyans?
Note;
An agreement is two ways
traffic.
Kenya wana ihitaji sana TZ
kuliko TZ tunavyoihitaji Kenya.
Twendeni polepole.
(Ni maoni tu lakini)
Kama ile ishu ya vifaranga vya kuku yaani ilituaibisha SanaTulitia aibu kama Taifa kwakweli
Hamna ubaya ila wakenya wakijazana tigo, voda na airtel wakaja TPB, NMB na CRDB wadogo zenu wote watakuwa wauza kashata na kutembeza kahawa! Msije kuanza kulia lia tu wakenya wamezidiKuna ubaya?
Are we capable to compete
with Kenyans?
Note;
An agreement is two ways
traffic.
Kenya wana ihitaji sana TZ
kuliko TZ tunavyoihitaji Kenya.
Twendeni polepole.
(Ni maoni tu lakini)