Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Hahah sasa Mama kaingia kwenye mtego wa Kenyatta! Lazima ajue wakenya wanataka kufanya kazi bila masharti kitu ambacho mtanzania awezi fanikiwa akiwa kenya!

Hahahaha Mama endelea kuwafurahisha watu
 
Kwa hiyo Uhuru Kenyatta naye anategemea Samia Suluhu ajibu wema huo kwa kuruhusu wakenya kufanya kazi Tanzania bila vibali?

Hiyo ni akili ya wapi?

Samia ajaribu aone kitakachotokea!

Hata hivyo, hii sio mara ya kwanza Kenyatta kuyasema maneno kama hayo, siyo kwa waTanzania pekee, bali kwa watu mbalimbali, lakini matokeo yake ni tofauti na maneno.

Nadhani wakati mwingine huwa anafurahi kujisikia akisema maneno ambayo uhalisia wake ni tofauti na maneno yenyewe.
 
..utasikia viongozi wa CCM wanasema vijana wajiajiri au wachangamkie fursa za soko la ajira kenya. Mama amepigana vijana wapate ajira kenya.🤣
 
Mtego huu...mama awe mwangalifu. Sio kirahisi rahisi hivi
Wacha kuwatisha watu wacha watu sasa wapige biashara ili wajiingizie kipato

Nyinyi kalieni majungu yenu kama kawaida maana kwa sasa mama hata akifanya nini mtampinga tu tunawajua.
 
..utasikia viongozi wa CCM wanasema vijana wajiajiri au wachangamkie fursa za soko la ajira kenya. Mama amepigana vijana wapate ajira kenya.🤣
Eeeenh Heeee!

Kuna tatizo moja. LUGHA!

Hilo ni jibu fupi kueleza refu zaidi!

Sina hakika kama Samia naye ataamini hadaa hiyo?
Ulishaangalia 'unemployment' level ya vijana wanaomaliza shule Kenya?

Wao kazi hizo hawazitaki?
 
Mtego huo. By so saying, he envisages 'reciprocity'

In terms of capacity (qualification) watz wengi hawana uwezo wa kuexcel kwenye white-collar jobs in Kenya.

Pia, wakenya wana roho mbaya, na ni watu ambao ni very aggressive when it comes to opportunities. Mkenya hana ile sense of 'undugu & ujamaa'. So mtz ndezi ndezi hawezi survive kwenye business atmosphere ya nchini Kenya.

Labor force ya Kenya ni very skilled! Wakenya wakimwagika hapa nchini, watz tumekwisha!

Rais Samia asiingie kwenye huo mtego wa kitoto.

-Kaveli-
Wote mtakuwa wamachinga
 
Waje tu si wanakuja na pesa zao hakuna shida sisi tunaambiwa njooni kenya mfanye kazi au biashara watu wanavuta miguu
makav live. ndio tunavuta miguu baadae tunatafuta mtu wakumbebesha lawama. this is tz
 
..utasikia viongozi wa CCM wanasema vijana wajiajiri au wachangamkie fursa za soko la ajira kenya. Mama amepigana vijana wapate ajira kenya.🤣
Kwani uongo huoni ajira hapo? Akina diamond wataenda kutumbuiza bila work permit
 
Are we capable to compete with
Kenyans?
Note;
An agreement is two ways
traffic.
Kenya wana ihitaji sana TZ
kuliko TZ tunavyoihitaji Kenya.
Twendeni polepole.
(Ni maoni tu lakini)
we are not capable. and that is the truth
 
Are we capable to compete
with Kenyans?
Note;
An agreement is two ways
traffic.
Kenya wana ihitaji sana TZ
kuliko TZ tunavyoihitaji Kenya.
Twendeni polepole.
(Ni maoni tu lakini)

..EAC imeanzishwa 1996 nadhani.

..miaka 25 Watz tumekuwa tunasema twende polepole.

..Tunatakiwa tubadilike kuanzia sasa.

..Tuangalie wapi tumekosea ili turekebishe.
 
Back
Top Bottom