Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Tulitia aibu kama Taifa kwakweliMama Samia kaamua kufuta maovu yoote yaliyo tokea awamu ya 5 maana kaona hayafai hata kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulitia aibu kama Taifa kwakweliMama Samia kaamua kufuta maovu yoote yaliyo tokea awamu ya 5 maana kaona hayafai hata kidogo.
Kwa nini CRDB isiiue Equity?It is sir. And i think we both told the same thing, look kufiri nje ya box ni kule kule tu kuwa na high intelligence. So the question comes kufikiri nje ya box kwa jicho gani ? Kenyans think out of box on wining us
Hii taasis ya Equity na KCB si ni za Kenya ? Surprisingly wataka occupy hizi huduma za kibank nchini. Siunaiona CRDB Sasa ?
Huo ndiyo ukweli.Tulitia aibu kama Taifa kwakweli
Mengine magu alikua sahihi kuwanyoosha wakenya,unajua mpaka leo ndege zetu azijaruhusiwa kwenda kenya sababu kenya inahofia italeta ushindani,usidhani kama crdb haiwezi kufungua matawi kenya lkn ni vikwazo vya kikenya,rostam yuko sahihi sanaRostam kaongea vizuri bahati mbaya sana alienda 2017 wakati uhusiano ulikuwa unakufa taratibu na hizi nchi zetu tatizo kubwa watendaji wa chini au sheria hazitungwi kuendana na vision ya nchi mbili ndio shida natamani hii iwe ni new chapter pande zote mbili.
Huu Ni mtego wanataka na sisi turuhusu waje kujazana hapa kwetu Mana wanajua sisi niwachache wenye uwezo walifanya kazi huko KenyaKigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Amesema kanuni na taratibu zinazofuatwa na wakenya.. watanzania wakienda huko wazifuate. Yaani mtanzania atahesabika kuwa ni mkenyaHujamsikia kanuni na taratibu zizingatiwe lkn?
Kama CRDB inaweza nayo ikafanye business Kenya.It is sir. And i think we both told the same thing, look kufiri nje ya box ni kule kule tu kuwa na high intelligence. So the question comes kufikiri nje ya box kwa jicho gani ? Kenyans think out of box on wining us
Hii taasis ya Equity na KCB si ni za Kenya ? Surprisingly wataka occupy hizi huduma za kibank nchini. Siunaiona CRDB Sasa ?
Ndiyo maana tukasema ni wachache watakaogundua hii, wewe haumo dadaMajinga nyinyi sukuma gang,, Jiwe aliharibu mahusiano mazuri na majirani zetu,
Speak for yourself not for the rest of us. Kama wewe unajions hauko intelligent pambana na hali yako. Tupo ambao tunashindana na wakenya ligi moja na tunawazidiKenyan's intelligence is high than ours.
Mkuu unachekelea na yeye mama atafanya the some....uone ajira zote zitachukuliwa na wakenya Hadi uwalimu.....kwasababu wako smart na agressive....time will tell utakujaa kulala Mika hapa tenaaKigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Watakuja wapambe kutupinga....Hongera kuwakumbusha wafanya maamuzini kweli mkuu..
lengo lake ni tanzania iseme the same, ili pia waje wafanye biashr upande wa pili bila permit..
na sisi tukifuata hilo, wakenya watakuwa wame win
Hata ukipata wanaweza kukuwekea zengwe mpaka ukaamua kukubalia matokeo mwenyewe vinginevyo wanaweza kukutanguliza mbele ya hakiWakenya wajanja, hata kama huna work permit, wala business visa, kazi hupati Kenya.. Mtanzania hawezi pewa nafasi na wakenya kufanya kazi.. Sisi tusiruhusu hilo, eti wakenya waje free huku, hilo litakuwa kosa kubwa sana kutokea
KAYAFA alikua katili na mshamba sana!!Amesemea hilo pia kuwa nchi zetu zisiwe na mentality ya kuwa sisi ni washindani bali wanaoshirikiana sio wanaoshindana .Tukijuana kama wanaoshirikiana watakaofaidi ni wananchi wetu wa nchi zote mbili