Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

It is sir. And i think we both told the same thing, look kufiri nje ya box ni kule kule tu kuwa na high intelligence. So the question comes kufikiri nje ya box kwa jicho gani ? Kenyans think out of box on wining us

Hii taasis ya Equity na KCB si ni za Kenya ? Surprisingly wataka occupy hizi huduma za kibank nchini. Siunaiona CRDB Sasa ?
Kwa nini CRDB isiiue Equity?
 
Hizo ni blahblah kanuni inayotambulika Kenya ni TKK toa kitu kidogo ndiyo taratibu zinafuatwa.
 
Mtego huo. By so saying, he envisages 'reciprocity'

In terms of capacity (qualification) watz wengi hawana uwezo wa kuexcel kwenye white-collar jobs in Kenya.

Pia, wakenya wana roho mbaya, na ni watu ambao ni very aggressive when it comes to opportunities. Mkenya hana ile sense of 'undugu & ujamaa'. So mtz ndezi ndezi hawezi survive kwenye business atmosphere ya nchini Kenya.

Labor force ya Kenya ni very skilled! Wakenya wakimwagika hapa nchini, watz tumekwisha!

Rais Samia asiingie kwenye huo mtego wa kitoto.

-Kaveli-
 
Rostam kaongea vizuri bahati mbaya sana alienda 2017 wakati uhusiano ulikuwa unakufa taratibu na hizi nchi zetu tatizo kubwa watendaji wa chini au sheria hazitungwi kuendana na vision ya nchi mbili ndio shida natamani hii iwe ni new chapter pande zote mbili.
Mengine magu alikua sahihi kuwanyoosha wakenya,unajua mpaka leo ndege zetu azijaruhusiwa kwenda kenya sababu kenya inahofia italeta ushindani,usidhani kama crdb haiwezi kufungua matawi kenya lkn ni vikwazo vya kikenya,rostam yuko sahihi sana
 
Kigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa

Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Huu Ni mtego wanataka na sisi turuhusu waje kujazana hapa kwetu Mana wanajua sisi niwachache wenye uwezo walifanya kazi huko Kenya
 
Kwa furaha niliyonayo nampa wimbo huu kama zawadi yake KENYATTA

Wajomba zangu hao wamefurahi sana kwa uanuzi wake

 
It is sir. And i think we both told the same thing, look kufiri nje ya box ni kule kule tu kuwa na high intelligence. So the question comes kufikiri nje ya box kwa jicho gani ? Kenyans think out of box on wining us

Hii taasis ya Equity na KCB si ni za Kenya ? Surprisingly wataka occupy hizi huduma za kibank nchini. Siunaiona CRDB Sasa ?
Kama CRDB inaweza nayo ikafanye business Kenya.
 
Hapa tumetupiwa ndoano, tukiingia tumenasa na mwisho wake ni mgogoro mkubwa sana...

Labor force ya Tanzania ni unskilled, Kenya wanalabor force kubwa skilled hapa tumeumia.
Makampuni mengi ya kimataifa, kienglish aka kiingereza aka kikristo ndio priority kwenye kutoa ajira, hapa wabongo tutapigwa maana wengi wasomi kiingereza cha kuunga unga...
 
Kigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa

Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Mkuu unachekelea na yeye mama atafanya the some....uone ajira zote zitachukuliwa na wakenya Hadi uwalimu.....kwasababu wako smart na agressive....time will tell utakujaa kulala Mika hapa tenaa
 
Mama usimeze hiyo ndoano, kama wao wameruhusu sisi kuingia kufanya kazi kenya bila permit sisi tusiwaruhusu kuja kwetu bila permit...ukiruhusu tu hilo hii nchi Kenyan wataitwaa asubuhi tu...zile jamaa janjajanja sana.
 
ni kweli mkuu..
lengo lake ni tanzania iseme the same, ili pia waje wafanye biashr upande wa pili bila permit..

na sisi tukifuata hilo, wakenya watakuwa wame win
Watakuja wapambe kutupinga....Hongera kuwakumbusha wafanya maamuzi
 
Wakenya wajanja, hata kama huna work permit, wala business visa, kazi hupati Kenya.. Mtanzania hawezi pewa nafasi na wakenya kufanya kazi.. Sisi tusiruhusu hilo, eti wakenya waje free huku, hilo litakuwa kosa kubwa sana kutokea
Hata ukipata wanaweza kukuwekea zengwe mpaka ukaamua kukubalia matokeo mwenyewe vinginevyo wanaweza kukutanguliza mbele ya haki
 
Amesemea hilo pia kuwa nchi zetu zisiwe na mentality ya kuwa sisi ni washindani bali wanaoshirikiana sio wanaoshindana .Tukijuana kama wanaoshirikiana watakaofaidi ni wananchi wetu wa nchi zote mbili
KAYAFA alikua katili na mshamba sana!!
 
Back
Top Bottom