Acha kuweweseka mkuu, wakenya ni zaidi ya uwajuavyo...anachokisema sicho anachotenda.Piga kelele kwa Kenyatta akeeππππππ
Seriously, EA hatutakiwi kuwa na barrier zozote za kibiashara. Tuna custom union ya maneno tu lakini haifanyi kazi. Tunazuia na kubania biashara za Kenya huku tukijaza masoko kwa bidhaa za India na China. EA inatakiwa kufunguka, iwe kama nchi moja. Hapo ndiyo tunaweza fikia shirikisho la kisiasa
Labda kuliko weweKenyan's intelligence is high than ours.
Iombe india,uganda,zimbabwe isiombe kenya!Mkuu acha kupotosha. Kenya haijazuia ndege za tanzania... ATCL ndii haijaomba kibali cha kwenda kenya
mkuu ungeona jinsi wanavyokabili matatizo yao kitaalamu usingesema kitu hapa ,Nakushauri, kamwe usikubali kujiaminisha hiki kitu. ni watu wakawaida tu.
Sasa kwanini muogope kufanya biashara?ni kweli mkuu..
lengo lake ni tanzania iseme the same, ili pia waje wafanye biashr upande wa pili bila permit..
na sisi tukifuata hilo, wakenya watakuwa wame win
Shida yetu iko hapo..tunamuogopa kila mtu..hv why lakini?sijui niNyerere au nani alitujaza ujinga wa kuogopa ogopa kila kitu! Tujaribu tukiona wanatuzid akili mamlaka zipo!khaa
safari hii siyo biashara tu lazima tufunge na ndoa nyingi tuKigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa.
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara.
kufikiri nje ya boksi si lazima uwe intelligent. anybody with thinking capacity ya kawaida anaweza fanya hivyo. na hiyo creativity which sio lazima uwe na higher intelligence.It is sir. And i think we both told the same thing, look kufiri nje ya box ni kule kule tu kuwa na high intelligence. So the question comes kufikiri nje ya box kwa jicho gani ? Kenyans think out of box on wining us
Hii taasis ya Equity na KCB si ni za Kenya ? Surprisingly wataka occupy hizi huduma za kibank nchini. Siunaiona CRDB Sasa ?
Angalia maneno unayoyatumia. Nina hisi huna uzoefu wa mambo mengi hasa ya Siasa. Tangazo la kwanza la Kenyata kuruhusu wana East Africa kuingia Free nchini kwake ilikuwa siku anapoapishwa kwa muhura wa pili. Sasa nini kilimfanya aanze kuwazuia Waganda na Watanzania? Mtu asiye na taarifa kama wewe anadhani maamuzi ya Kenya yalikuwa Tanzania pekee na Uganda pia. Tuache akili za Kitumwa kama zako.Majinga nyinyi sukuma gang,, Jiwe aliharibu mahusiano mazuri na majirani zetu,
Watanzania ni watu wavivu sana kwenye sehemu zao za kazi, bora jiwe alivyo ondoka na makampuni nyingi na taasisi binafsi sasa ma CEO watakuwa wa KenyaAcha kuweweseka mkuu, wakenya ni zaidi ya uwajuavyo...anachokisema sicho anachotenda.
Mkenya akikuangalia machoni na kukuchekea usikenue kwanza..angalia nyuma yako kujiridhisha.
Hawa jamaa nimefanya nao kazi. Ninawafahamu vilivyo.
Una akilisana mkuu, anajuwa ikiwahivyo wao ndio watakao jazana huku.Mtego huu, anataka na Samia aseme hivyohivyo kwa wakenya
sijaelewa unazungumzia mazingira gani ya biashara ,mifumo yetu ya kodi ilio kandamizi na isiyo rafiki kwa wafanya biashar, hasa kwa miaka 5 nyuma, kwa mwendo wa mama itarekebiaka..
kufanya biashra ama kuwekeza kenya kama mtanzania hilo sahau, labda kuuza mitumba au kuimpot bidhaa zao za viwanda kuja kuzitupia huku
swala la ku brand ni sisi wenyewe tumezubaa miaka mingi. tulikuwa hatufany serious publications za huu mlima.sema hawa jamaa sjawahi kua na imani nao, uwekezaji ni muhimu sawa ila sheria ziwekwe nzuri haya mambo ya kubrand mlima kilimanjaro kenya iwe mwisho
Alipaswa kwenda mbali zaidi na kusema ni kwa nini hasa mahindi ya Tanzania na Uganda yamezuiliwa kuingia nchini kwake. Ametoa siku mbili yaruhusiwe kuingia. Je, baada ya hizo siku mbili hayatakuwa na hiyo sumu kuvu tena?Amesemea hilo pia kuwa nchi zetu zisiwe na mentality ya kuwa sisi ni washindani bali wanaoshirikiana sio wanaoshindana .Tukijuana kama wanaoshirikiana watakaofaidi ni wananchi wetu wa nchi zote mbili
sisi tunauza kwao raw products wao wanaziproces, kisha kuja kuziuza tena huku mara nne ya bei walionunulia huku..sijaelewa unazungumzia mazingira gani ya biashara ,
watanzania tupo gifted na rasiamali pamoja na ardhi nzuri , hii ni default .Mazingira ya kibiashara yakiboreshwa mtanzania anaweza kupeleka products zetu kenya moja kwa moja na kupata soko huko , kumbuka bidhaa zetu nyingi kenya zinajiuza zenyewe ,
Sasa huoni tukipata skilled labour faida ni kwetu sisi?Hapa tumetupiwa ndoano, tukiingia tumenasa na mwisho wake ni mgogoro mkubwa sana...
Labor force ya Tanzania ni unskilled, Kenya wanalabor force kubwa skilled hapa tumeumia.
Makampuni mengi ya kimataifa, kienglish aka kiingereza aka kikristo ndio priority kwenye kutoa ajira, hapa wabongo tutapigwa maana wengi wasomi kiingereza cha kuunga unga...
Sasa kama inamilikiwa na Kenya Airways na bado inafanyiwa figisu. Nini kinakuaminisha kuwa ATCL kwenye route hiyo itapata huruma kibiashara?.Precision air inamilikiwa na kenya airways..huwezi kulinganisha na ATCL
Hujakosea ndiyo vizuri itatupa changamoto ili nasi tushindane tuwe smart kichwani kuliko wakenya.mkuu , wakenya sio wajanja ila wapo smart kichwani na wengi shule imewasaidia .
huku kwetu mtu level ya phd anafanya vitu hata mganga wa kienyeji anashangaa halafu unataka mtu huyu apate attention level za international?
Safi sana. Hili jiwe limempata tena la kwenye paji la Uso.Speak for yourself not for the rest of us. Kama wewe unajions hauko intelligent pambana na hali yako. Tupo ambao tunashindana na wakenya ligi moja na tunawazidi
Nadhani kuprocess na kuuza bidhaa zetu kwetu kwanza na kisha Kenya inawezekana tukiamua. Kama ni kufurika soko na finished products tufurike na za kwetu pia na tuuze kwao kwa bei nafuu kuliko vya kwao wenyewe. Hawa watu siyo wa kuwaamini ila siyo wakuwaogopa pia. Kazi kwetu wenyewe kujihakikishia tunawea kushindana.sisi tunauza kwao raw products wao wanaziproces, kisha kuja kuziuza tena huku mara nne ya bei walionunulia huku..
nje ya mazao na malighfi hatuna finished products zenye soko la hakika kenya..
tushukur Mungu sheria ya ardhi inayozuia mgeni kumiliki ardhi, tungeisha. Na wao hawaipendi mnoo hii sheria yetu..