Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Acha kuweweseka mkuu, wakenya ni zaidi ya uwajuavyo...anachokisema sicho anachotenda.Piga kelele kwa Kenyatta akee๐๐๐๐๐๐
Seriously, EA hatutakiwi kuwa na barrier zozote za kibiashara. Tuna custom union ya maneno tu lakini haifanyi kazi. Tunazuia na kubania biashara za Kenya huku tukijaza masoko kwa bidhaa za India na China. EA inatakiwa kufunguka, iwe kama nchi moja. Hapo ndiyo tunaweza fikia shirikisho la kisiasa
Mkenya akikuangalia machoni na kukuchekea usikenue kwanza..angalia nyuma yako kujiridhisha.
Hawa jamaa nimefanya nao kazi. Ninawafahamu vilivyo.