Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Wewe ndiye unayetakiwa ufikiri nje ya box.Ni nani huyo atakayeenda nchi ya ugeni kuwekeza bila kufanya uchunguzi wa kina.labla kama anaenda kuuza utupu.japo ata na wenyewe lazima ajiridhishe mambo mengi.Na pia lazima ujue kua hayo mapungufu yote ni vitu vinavyorekebishika ni kiasi cha mamlaka husika kuweka mambo sawa.inawezekana uko nyuma hayakufanyika kwasababu mamlaka haikua tayari ila kama mamlaka ya sasa inataka kuweka mambo sawa sidhani kama hayo mapungufu hayatajadiliwa kwa kina.
Kazi za ubalozi, ni kutafuta fursa kwa niaba yako, kisha kuziwakilisha sehem husika ili mm na wewe iwe rahisi kuzijua..

balozi nyingi, zina kitengo maalumu kinacho husika na biashra. Kinatoa taarifa na kutangaza fursa za nchi zao, kisha wanatafuta kila fursa katika nchi husika kwa ajili ya raia wake..

kabla jatujawaambia ndio, tujipange kwanza
 
Hawa ndugu zenye wanauza mitumba pia?
Wenye village supermarket pia nao utawaambiaje, watoke KE?
Na wako wengi tu, so acha kupotosha, kama huwezi ni wewe, wenzio wana hela ya kuja kuwekeza KE.

View attachment 1775174

hawa ulio onyesha, ni watanzania wenye asili ya asia ambao ndio wengi. na wepesi wao kuweza kufanya biashar huko, ni kutokana na undgu na ukaribu walionao na wakenya wenye asili ya asia wa huko..

mtanzania mwmy asili ya tanzania, kama huyo kwny picha kulia, ni wachache mnoo. labda aweke store ya mbao, mazao nk vijavyotoka tz..

kimsingi, hakuna neutral ground, hivyo tanznia inahitaji ijipange hata kwa sera tu kabla haijasema haya njooni na nyie free, ili kulinda ajira zetu, vuwanda vyetu nk
 
Usiseme 'WATAWEZA?'... Sema 'NITAWEZA?'. Kapambane na maisha, hakuna kizuri kitakufwata bila kuchukua some risks. Na ukianguka mara tisa, simama mara ya kumi!
Sio kwamba wakenya wako Smart kwenye biashara bali wanaroho mbaya,wanaweza kucheza rafu zote,ikiwezekana hata kukuibia kimachomacho ili mradi tu ukate tamaa.Nimefanya kazi/biashara na wakenya hapa Tz,nimewashinda lakini ni watu wenye figisu sana na ukabila huko ni kwao!
 
hawa ulio onyesha, ni watanzania wenye asili ya asia ambao ndio wengi. na wepesi wao kuweza kufanya biashar huko, ni kutokana na undgu na ukaribu walionao na wakenya wenye asili ya asia wa huko..
Ni watanzania wenzetu wacha waende wapige kazi bila visa wala work permit sioni tatizo

Wenzetu kenya wameongeza idadi ya makabila wanatambua wahindi kama kabila rasmi la kenya

Mtego huu, anataka na Samia aseme hivyohivyo kwa wakenya
For some reason - binafsi sipo comfortable na sugarly coated comments za Rais Kenyatta, hata siku moja - huku kuaminiana kwa ghafla baina ya mataifa yetu mawili yamehibuka hibuka kutoka wapi!! In other words WHAT'S THE CATCH Mr.President Kenyatta???

Juzi hapa mfanya biashara makini wa kitanzania one Rostam Aziz ali-spill the beans adhalani kuhusu usanii/maigizo ya baadhi ya viongozi wenye madaraka/mamlaka nchini mwenu - tuwe wakweli hapa,baadhi ya Viongozi nchini Kenya deep down hawana nia thabiti ya kushirikiana na Tanzania on win win situation haya kidogo - traits zenu za miaka mingi za man eat man na grab every MALI available bado zipo pale pale msimdanganye Madam President wetu - Watanzania bado tupo macho hatutakubari kuendeshwa puta kama gari bovu - tuwekeze on equal terms and nothing in between, Watanzania tukumbuke msemo "Once bitten twice shy".

Taifa letu likazanie kushirikiana kwa karibu sana na Wachina na Waturuki, ya nini kushirikiana na watu ambao ni highly unpredictable kama mawimbi ya Tsunami - sina nia ya kuwasema vibaya wenzetu wa Kenya lakini ukweli ni lazima usemwe tusije tukajilahumu siku za usoni baada ya kuja kushtuka a good chunk ya aridhi yetu huko Mikoani inamilikiwa na wao through dubious means - are too crafty to trust them nawambiieni - haya mambo ya kuacha mlango ajar tutakuja kushtuka wakati farasi amekwisha bolt!!
 
Ni watanzania wenzetu wacha waende wapige kazi bila visa wala work permit sioni tatizo

Wenzetu kenya wameongeza idadi ya makabila wanatambua wahindi kama kabila rasmi la kenya

ntawatambua wahindi kama kabila mojawapo tanzania, once nikuona mtanzania ameweza kumuoa muhindi, na wao wakakubali

ntalitambua kabila la wahindi siku tukiishi nao mbagalq, gongolamboto mbezi nk..

kifupi, ntawatambua kama kabila moja wapo ndani Tanzania, wakiacha ubaguzi
 
Sio kwamba wakenya wako Smart kwenye biashara bali wanaroho mbaya,wanaweza kucheza rafu zote,ikiwezekana hata kukuibia kimachomacho ili mradi tu ukate tamaa.Nimefanya kazi/biashara na wakenya hapa Tz,nimewashinda lakini ni watu wenye figisu sana na ukabila huko ni kwao!
Hata wewe cheza rafu uwe ligi moja nao, mambo mengine waachie wenyewe! Si ni hela watafuta, au kuna lingine?
 
watanzania wenye asili ya asia ambao ndio wengi. na wepesi wao kuweza kufanya biashar huko, ni kutokana na undgu na ukaribu walionao na wakenya wenye asili ya asia wa huko..
Wengi humu unakuta walikuwa wakibeza alichotupatia kenyatta kuwa ohhh watanzania hatutafaidi kuliko wakenya wakasahau kuwa hiyo free viza na free work permit hawakujua kuwa Tanzania tuna mabilionea wa kihindi na kiarabu na kipemba ambao hizo fursa wanazimudu sana

Rostam anataka kuwekeza kenya kwenye gas dola milioni 130 hiyo offfer muhimu sana kwake na wafanyakazi wake

Matajiri watanzania Wahindi ,,waarabu na wapemba watanzania fursa hiyo kenya kaitoa Kenyatta.Wakinga matajiri na matajiri wa kichaga fursa hizo kenya

Wasafirishaji wa mabasi ya safari ndefu luxury fursa kenya ziko kibao,Route nyingi mabasi mabaya ya mikoani ni vi hiace tu .Nendeni soko la kenya.Mwenye mabasi ya Sauli nk npo
 
ntawatambua wahindi kama kabila mojawapo tanzania, once nikuona mtanzania ameweza kumuoa muhindi, na wao wakakubali

ntalitambua kabila la wahindi siku tukiishi nao mbagalq, gongolamboto mbezi nk..

kifupi, ntawatambua kama kabila moja wapo ndani Tanzania, wakiacha ubaguzi
Wapi mtu aishi huwezi mchagulia ni uvunjaji haki za binadamu

Pili wahindi wanaume hawaoi huolewa na wanawake na wanawake ndio hulipa mahari unataka kuolewa na mwanamke wa kihindi kidume wewe?
 
Acha waje nao maana watanzania asilimia kubwa wamelala wamejazwa uwoga

Ova
 
Acha waje nao maana watanzania asilimia kubwa wamelala wamejazwa uwoga

Ova
Watanzania jamii ya Kihindi,kiarabu, kipemba, kichaga na wakinga hawana woga wataingia kenya bila woga
 
Watanzania jamii ya Kihindi,kiarabu, kipemba, kichaga na wakinga hawana woga wataingia kenya bila woga
Nyie vijana vizazi vya sasa mbona waoga
Kaka zenu zamani tulikuwa tunazamia..
Hebu ondoeni uwoga
Pelekeni mazao huko,pelekeni madini huko

Ova
 
Watanzania jamii ya Kihindi,kiarabu, kipemba, kichaga na wakinga hawana woga wataingia kenya bila woga
Nasisi tuongeze Kabila jipya kwenye idadi ya Makabila ya Tanzania ni vizuri tukawaita Kabila la WaGarbaChori.
 
Nasisi tuongeze Kabila jipya kwenye idadi ya Makabila ya Tanzania ni vizuri tukawaita Kabila la WaGarbaChori.
NI KWELI kuna makabila wanalalamika kuwa wakienda ukisema kabila muhindi au mpemba au mwarabu hueleweki..Serikali iwaongeze tu na kuwatangaza kama makabila gani? tujue tuna makabila yao pia nchini mapya

Tanzania tuliongeza makabila mawili ya wahutu na watusi baada ya wakimbizi wa kihutu na kitusi laki mbili kupewa uraia 2014 kipindi cha Kikwete waliokuwa makambi ya wakimbizi kigoma kwa miaka mingi

Nasisi tuongeze Kabila jipya kwenye idadi ya Makabila ya Tanzania ni vizuri tukawaita Kabila la WaGarbaChori.
Wamakonde nao Kenya waomba watambuliwe kama raia wa Kenya

Back
Top Bottom