Kazi za ubalozi, ni kutafuta fursa kwa niaba yako, kisha kuziwakilisha sehem husika ili mm na wewe iwe rahisi kuzijua..Wewe ndiye unayetakiwa ufikiri nje ya box.Ni nani huyo atakayeenda nchi ya ugeni kuwekeza bila kufanya uchunguzi wa kina.labla kama anaenda kuuza utupu.japo ata na wenyewe lazima ajiridhishe mambo mengi.Na pia lazima ujue kua hayo mapungufu yote ni vitu vinavyorekebishika ni kiasi cha mamlaka husika kuweka mambo sawa.inawezekana uko nyuma hayakufanyika kwasababu mamlaka haikua tayari ila kama mamlaka ya sasa inataka kuweka mambo sawa sidhani kama hayo mapungufu hayatajadiliwa kwa kina.
balozi nyingi, zina kitengo maalumu kinacho husika na biashra. Kinatoa taarifa na kutangaza fursa za nchi zao, kisha wanatafuta kila fursa katika nchi husika kwa ajili ya raia wake..
kabla jatujawaambia ndio, tujipange kwanza