Rais Kenyatta asaini muswada unaotaka Serikali kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike

So which is which. Umeniambia nikuoatia shule ambazo hakuna chakula shuleni nimekuwekea umeanza kukenua kenua meno. Ni kweli watoto wa kike wanahita pads lakini siyo kipaumbele katika familia.

Sasa nauliza mtakuwa mnapeleka pads kila mwezi au kila siku. Na hizo pads ni za kiasi gani?

Nakuhakikishia huo ni mradi wa GOK kupiga pesa mingi kubwa kubwa.
Pads ni muhimu. Nakumbuka hata mimi nikiwa nasoma kuna kipindi tulikua tunagaiwa pads bure halafu ile system ikapotea. Ilkua inasaidia mno kwa ambaye hakua na uwezo wa kununua.
Wasichana wengi hubaki nyumban sababu ya kukosa pads wakiwa kwenye siku zao.
Pad sio sawa na vipande vya kanga sababu kanga haitomfanya msichana awe comfortable shuleni.
Ungekua mwanamke ungeelewa hali hiyo inavyotokea.
 
Hahahaha!! Nimesema uwezo wa wakenya kufikiri ni mdogo sana. Hivi pads ndicho kipaumbele cha msingi? Ndio maana Tanzania inasita kidogo kwenye hii EAC mpaka Kenya watakapopatikana viongozi wanaojali maisha ya waafrica.
Hiyo ni moja ya mradi wa kula pesa za serikali. Mtakuja kuambiwa kila mwezi serikali inatumia $1billion. Amkeni wakenya acheni kujinga.

617xf1SqiEL._SL1500_.jpg
Huko kwa walioendelea kuna miradi mpaka ya kugawa chakula(i.e food stamps) na pesa za kujikimu kila mwezi,kuna program za kuwapa makazi wasio na makazi,sasa sielewi kwanini ushangae kupewa pedi watoto wa shule,mbona hushangai serikali duniani kote ikiwamo Tanzania kutoa chakula kwa wanafunzi,waambie basi na wao waanbie wawewezeshe wananchi kujinunulia wenyewe.kuna vingi vinavyotolewa bure na sirikali,tiba kwa wazee na watoto wadogo,matibabu ya fistula,ti,chanjo na mengineyo na usipagawe na hilo neno bure sio kwamba serikali hyo hela wanatoa mifukoni mwao,hyo pesa inayotumika ni kodi na misaada ya wafadhili.na usiseme wanaibiwa kabla hata project haijaanza na ukiwa huna tangible proof kuwa wanaibiwa.
 
Annael/Joto la jiwe: Kenya school feeding programme imekuwepo tangu enzi za rais Moi nolipokuwa shule mimi.
Na sio lazima iandikwe kwa sheria ili ukubali ipo ama itekelezwe. Pia inalingana na eneo au jamii inayolengwa kunufaisha watoto kukaa shule ili wasiache masomo kwa sababu za kuhama hama,tamaduni au majanga
Ndiyo sababu nikasema Kenya nchi yenu mnaiendesha kihuni sana, ndiyo sababu rushwa haiwezi kuisha na wajanja wananufaika sana serikalini, ndiyo maana siasa Kenya inalipa kuliko kufanya biashara ya dhahabu. Vipi mpango mkubwa kama huu wa kutoa chakula mashuleni uweze kutekelezwa bila kupitishwa sheria na bunge kuridhia?, kama project ndogo kama hii ya pedi imepitishwa na rais, iweje jambo kubwa kama hili la chakula unasema sio lazima iandikwe au kupitishwa na bunge, hiyo pesa itatolewaje bila bunge kuidhinisha?.

Ukweli ni kwamba sio kweli kwamba Kenya inatoa chakula bure, wala hiyo sheria haipo, ila kuna project mbalimbali zilikuwepo za kutoa chakula mashukeni, ambazo nyingi zilikuwa zinapata pesa toka nchi za nje na UN, sasa hivi nyingi zimefungwa kama Annael alivyokuwekea link hapo juu, hata huku Tanzania miaka ya 80s kulikuwepo na programme hizo, lakini nyingi zimekufa kwasababu wadhamini wamejitoa.
 
Pads ni muhimu. Nakumbuka hata mimi nikiwa nasoma kuna kipindi tulikua tunagaiwa pads bure halafu ile system ikapotea. Ilkua inasaidia mno kwa ambaye hakua na uwezo wa kununua.
Wasichana wengi hubaki nyumban sababu ya kukosa pads wakiwa kwenye siku zao.
Pad sio sawa na vipande vya kanga sababu kanga haitomfanya msichana awe comfortable shuleni.
Ungekua mwanamke ungeelewa hali hiyo inavyotokea.
Rafiki hebu angalia kwa jicho la tatu. Hao ni wafanyabiashara wanaagalia kwa jicho pana sana. Wanajua wakianzisha kitu kama hicho wanaweza kupiga pesa nzuri sana. Hiyo niionavyo mimi ni program maalum ya watu fulani ili wapige pesa.
Kwa mfano shule zipo 15,000 na kila shule inawasitani wa wanafunzi wasichana 200
200 x 15,000 utapata wanafunzi 3,000,000
chukulia kila pad ni $5
3,000,000 x 5 = $15,000,000 kila mwezi
Kwa pesa ya kitanzania itakuwa 33,943,500,000 au 34billion za kitanzania kwa mwezi
Hiyo ni minimum kabisa. sasa piga hesabu kwa mwaka 34x12 = 408b TZS
 
Lakini kabla mswada haujawa sheria ina maana kulikua na study tofauti kuhusiana na pendekezo la kugawa pads bure kwa wanafunzi. Muhimu kufatilia hizo study kwanini ikawa ni muhimu kiasi hicho mpaka raisi apitishe kua sheria.
India wametoa movie ya padman ili kuhamasisha wanawake watumie pads.

Bei ya pad inaanzia tzs 1500 kutokana na brands tofauti. Sio watu wote wanaweza kupata hzo pesa.

Sawa wanaweza kupiga pesa kama unavyosema lakini kwa namna moja ama nyingine wamewasaidia mabinti wengi.
Hii imewasaidia wasichana kutokwepa kwenda shuleni wakiwa kwenye siku zao.
 
Kwani mimi nakataa kuwa wanakuwa na matatizo kipindi hicho? Lakini kweli hilo ndilo tatizo la msingi?
Yes mkuu na mbaya zaidi tunaishi kwenye nchi ambayo mfumo DUME upo na umeathiri jamii hadi mwanamke akivaa nguo fupi anazomewa au kupigwa mitaani,na tuelewe kuwa kuvaa nguo ni chagua la kila mmoja wetu na KE kuvaa nguo fupi haimaanishi anahitaji SEX,wasichana wengi hawafiki ngazi za juu kielimu kutokana na kukabiliwa na changamoto nyingi tu including ya siku zao za masomo kuathiriwa because hawana sanitation pads kitu ambacho ni kidogo ila muhimu mno kwa wenzetu,ni vema serikali yetu ikafanya juhudi za makusudi to address this issue.Elimu itolewe sawa kwa wote and keep in mind you educate a woman ,Taifa Zima litakuwa limeelimika.
 
Wafanyabiashara wanapiga pesa kupitia sympathetic programs. Kwahiyo hakuna mtu wa ku judge pesa itapigwa balaa hapo. Yangu macho. Nchi makini zinatafuta utaratibu maalum wa kuwasaidia hao watoto. Hii ni njia ya kibepari.
 
Muhimu wanawasaidia mabinti wanaoshindwa kufika shuleni wakiwa kwenye siku zao.

Mengine wapambane na hali na zao.
 
Yes mkuu na mbaya zaidi tunaishi kwenye nchi ambayo mfumo DUME upo na umeathiri jamii hadi mwanamke akivaa nguo fupi anazomewa au kupigwa mitaani,na tuelewe kuwa kuvaa nguo ni chagua la kila mmoja wetu na KE kuvaa nguo fupi haimaanishi anahitaji SEX,wasichana wengi hawafiki ngazi za juu kielimu kutokana na kukabiliwa na changamoto nyingi tu including ya siku zao za masomo kuathiriwa because hawana sanitation pads kitu ambacho ni kidogo ila muhimu mno kwa wenzetu,ni vema serikali yetu ikafanya juhudi za makusudi to address this issue.Elimu itolewe sawa kwa wote and keep in mind you educate a woman ,Taifa Zima litakuwa limeelimika.
Kwa upande wa kutoa elimu ninakubaliana na wewe 100% lakini kuna njia mwafaka ya kufanya hivyo.
 
Kwani mimi nakataa kuwa wanakuwa na matatizo kipindi hicho? Lakini kweli hilo ndilo tatizo la msingi?
akili umeambiwa tumia
emoji23.png
emoji23.png
wacha kubehave kana kwamba sijui uo class 2...pedi ni jambo muhimu sana...kuna waschana wanaoacha shule jinsi hawana hela za kununua pedi...we vipi?
emoji23.png
emoji23.png
 
Ndiyo sababu nikasema Kenya nchi yenu mnaiendesha kihuni sana, ndiyo sababu rushwa haiwezi kuisha na wajanja wananufaika sana serikalini, ndiyo maana siasa Kenya inalipa kuliko kufanya biashara ya dhahabu. Vipi mpango mkubwa kama huu wa kutoa chakula mashuleni uweze kutekelezwa bila kupitishwa sheria na bunge kuridhia?, kama project ndogo kama hii ya pedi imepitishwa na rais, iweje jambo kubwa kama hili la chakula unasema sio lazima iandikwe au kupitishwa na bunge, hiyo pesa itatolewaje bila bunge kuidhinisha?.

Ukweli ni kwamba sio kweli kwamba Kenya inatoa chakula bure, wala hiyo sheria haipo, ila kuna project mbalimbali zilikuwepo za kutoa chakula mashukeni, ambazo nyingi zilikuwa zinapata pesa toka nchi za nje na UN, sasa hivi nyingi zimefungwa kama Annael alivyokuwekea link hapo juu, hata huku Tanzania miaka ya 80s kulikuwepo na programme hizo, lakini nyingi zimekufa kwasababu wadhamini wamejitoa.

Wewe,usipasuke kichwa kwa mambo ya Kenya!
Fuatilia ya kwenu Tz mna shida kibao na usijiongezee za Kenya.
 
Muhimu ni kwamba usijaribu kudanganya ukidhani sisi ni wajinga na hatuna information za huko, pia jaribu kutafuta information za nchi yenu, inaonekana wazi hamjui hata yanayoendelea nchini mwenu.
 
aoohhh.jpg

Why You will never see Kenyans on the Tanzania section or even bother reading your news..... but you Bongolalas... Kukesha tu kenya section and refreshing Kenya news on google after every 5 minutes
 
View attachment 742536
Why You will never see Kenyans on the Tanzania section or even bother reading your news..... but you Bongolalas... Kukesha tu kenya section and refreshing Kenya news on google after every 5 minutes
Ndiyo sababu nikakuambia usijaribu kudanganya kwasababu sisi tuko very informed kuliko ninyi mnaotegemea kusoma vyombo vya habari vyakwenu pekee ambavyo vinawadanganya sana, mnapokutana na sisi tunosoma tarifa za dunia nzima, mnabaki kuonekana hamjui kitu, kwa taarifa yako Kenyan media talk more about Tanzania than other wise, wewe kwasabu hufuatilii mambo ya nchi zengine unashangaa kuona tunaijua Kenya zaidi ya wakenya, acheni kutegemea media za Kenya pekee.
Newspapers in Tanzania to register afresh
 
you are not informed just jealous little haters
 
hahahahahaha we only talk about you to laugh at you
 
Back
Top Bottom