Rais Kenyatta asaini muswada unaotaka Serikali kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike

I think now you know to whom you are talking to[emoji122] [emoji122]
53901de4b747846e860a33ed86ef56ae-leopard-leggings-political-memes.jpg

11bvm0.jpg
 
Ped mpaka sheria?
Sheria inaletwa bungeni kama mswada kwanza. Mbunge aliyeona kuna kitu kinahitajika pahali anafaa apewe hongera. Sio wale wenzao kwenye bunge la Tz ambao kazi yao kuu huwa ni kukoroma tu wakati wapo kwenye vikao.
 
Bunge lenu limekosa kazi ya kufanya. Hiyo si wizara husika ingetunga miongozo kuhusu suala hilo.

Sasa niambie, kwenye interpretation section ya sheria hiyo ina contents zipi?
 
Sasa unaniuliza badala ya kufanya risechi yako wewe mwenyewe? Naona huifahamu katiba ya Kenya na inavosema kuhusu 'gender equality' na kwamba kuna waakilishi wa wanawake bungeni. Labda unieleze ulimpigia mbunge yupi kura ntakupa contact zake ili umueleze wewe mwenyewe jinsi ya kufanya kazi yake.
 
Back
Top Bottom