joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
I think now you know to whom you are talking to[emoji122] [emoji122]hahahahahaha we only talk about you to laugh at you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think now you know to whom you are talking to[emoji122] [emoji122]hahahahahaha we only talk about you to laugh at you
I think now you know to whom you are talking to[emoji122] [emoji122]
Sheria inaletwa bungeni kama mswada kwanza. Mbunge aliyeona kuna kitu kinahitajika pahali anafaa apewe hongera. Sio wale wenzao kwenye bunge la Tz ambao kazi yao kuu huwa ni kukoroma tu wakati wapo kwenye vikao.Ped mpaka sheria?
Sheria inaletwa bungeni kama mswada kwanza. Mbunge aliyeona kuna kitu kinahitajika pahali anafaa apewe hongera. Sio wale wenzao kwenye bunge la Tz ambao kazi yao kuu huwa ni kukoroma tu wakati wapo kwenye vikao.
Sasa unaniuliza badala ya kufanya risechi yako wewe mwenyewe? Naona huifahamu katiba ya Kenya na inavosema kuhusu 'gender equality' na kwamba kuna waakilishi wa wanawake bungeni. Labda unieleze ulimpigia mbunge yupi kura ntakupa contact zake ili umueleze wewe mwenyewe jinsi ya kufanya kazi yake.Bunge lenu limekosa kazi ya kufanya. Hiyo si wizara husika ingetunga miongozo kuhusu suala hilo.
Sasa niambie, kwenye interpretation section ya sheria hiyo ina contents zipi?