Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

Rausi wetu aliona mbali sana. Alisema kuhusu fumigation watu wakasema baadae tukasikia WHO wakatoa kauli iliyoonesha kuunga mkono hoja ya raisi wetu. Leo hii tunasikia jilani nae anaamua kusitisha lockdown kabla ya ugonjwa kuisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Kenya amewaambia wakenya hawata watoke ndani wakafanye kazi, akiongea na taifa leo rais uhuru kenyata amesema kuwa hawata endelea kukaa ndani watafuata mfumo wa mataifa mengine hii imetokea siku chache baada ya rais wa Tanzania John Magufuli kuruhusu michezo na vyuo vikuu kuanza kazi

My take dunia inaanza kutuelewa

IMG-20200523-WA0016.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Kenya amewaambia wakenya hawata watoke ndani wakafanye kazi, akiongea na taifa leo rais uhuru kenyata amesema kuwa hawata endelea kukaa ndani watafuata mfumo wa mataifa mengine hii imetokea siku chache baada ya rais wa Tanzania John Magufuli kuruhusu michezo na vyuo vikuu kuanza kazi.

My take dunia inaanza kutuelewa

View attachment 1457675

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya kila siku wanatoa takwimu zao usifananishe Uhuru na utopolo
 
Wataelewa tu kwanini mwamba jemedari hakufuata njia za mabeberu kupambana na korona!
 
USSR,
Kenya wala hawaigi umagufuli. Msingi mkuu wa umagufuli ni kuzuia data, ili watu waseme Korona hakuna Tanzania. Kenyatta ametoa data kama anavyofanya daima. Hajafukuza wataalamu wa afya. Sisi tuko wenyewe tu, sema kidoogo tunafanana na Brazil. Sema nao hawajazuia data.
 
Walioitukana tanzania na rais magufuli wafungue threads za kuomba msamaha. Kama walivyofungua threads za kukashifu na kutukana rais na taifa letu teule. Rais Magufuli ni mpole muelewa na mkarimu atawasamehe,

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania ni independent thinkers Wakenya akili zao zimeshikwa na wazungu. tanzanians we are not copy cats hatu copy na kupaste solution za corona za wengine because we are independent thinkers tukiongozwa na independent thinker Genious Raisi Magufuli
 
Back
Top Bottom