Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mtu unawezaje kuisifia curfew ya kuanzia saa 1usiku hadi saa 11 alfajir,kisha mchana kutwa watu wanaendelea kujamiiana...kana kwamba corona haisambai mchana..huu ni uchiziKushindwa kufunga hata vilabu vya pombe kumenishangaza mno. Nchi zote zilizo siriazi zilifunga mikusanyiko yote isiyo ya lazima kama baa lakini sisi kwa mzaha hatukufunga kabisa hata vijiwe. Hii ni level ya chini sana ya tahadhari.
Mipasho tunaweza ila maendeleo ni kizungumkuti mpaka leo bado ni LDCKwa kifinyo tuliowapa hawa makapuku Cha siku 2 tu joto la jiwe limempata mpaka Rais wa Zambia akaona bora ayamalize mapemaa kabla kujakucha akaamua Jana nae afungue mpaka maana kahisi hawa wa bongo washamalizana na mkenya watanigeukia Mimi hawa akaamua bora awe muungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
And who told you that curfews and cessation of movement was meant to be forever?. We are very greatfull for the curfew and lockdowns. It has helped in cubbing the spread of the virus to the rest of the country.
Nilitaka ku comment nimeacha.Usipokuwa mwelewa utaongea tu kila kitu. Ugonjwa usiojulikana vizuri ukiingia mahali kama watu wapo siriazi lazima uchukue tahadhari zote. Kenya walikuwa sahihi sana na sio kuweka watu rehani kama alivyofanya magu. Sasa baada ya ugonjwa kuanza kueleweka namna zake ndio hata mataifa makubwa yanafungua. Mnadanganyika kirahisi sana watanzania.
Wote walifunga lilikuwa zoezi la muda .jiulize nchi kama italy nk wamefungua kwa sababu ya tz?
Sasa unalinganisha kenya na Italy?Wote walifunga lilikuwa zoezi la muda .jiulize nchi kama italy nk wamefungua kwa sababu ya tz?
Sasa unalinganisha kenya na Italy?
Tatizo ni kwamba kiongozi wa nchi hana msimamo wa kwake ila anaiga wengine wanafanyaje bila kuzingatia utofauti wa mazingira kati ya kenya na hizo nchi zingine. Wote mmemsikia sababu aliyotoa ili kufungua uchumi. Amesema serikali zingime na nchi nyingine zinafungua kwa hiyo na sisi hatuwezi kuendelea ...... Haupaswi kufungua kwa sababu wengine wamefungua! Ukifanya hivyo inaonyesha ulifunga kwa sababu wengine walifunga!
Kwa hiyo hao wengine unaowaiga wakiamua kufunga tena na kenya italockdown tena!!!
greatfull = grateful
cubbing = curbing
Nani alikuambia wakenya ni waingereza?.Wewe ni nani hata umrekebishe kingereza mkenya??
Hata Italy wamegundua kwamba "lockdown is not sustainable'.Wote walifunga lilikuwa zoezi la muda .jiulize nchi kama italy nk wamefungua kwa sababu ya tz?