pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ma-Acre Singh was not consulted 😀, same as Kalonzo, Wetangula, Madvd and the other usual noisemakers. This is the way to go.What does Arap Mashamba have to say about this ?
KENYA: Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa NASA Raila Odinga wanakutana na kufanya mazungumzo katika jengo la ‘Harambee House’ huko Nairobi.
Lengo la mazungumzo hayo bado halijajulikana lakini viongozi wawili hao wanatarajiwa kufanya mkutano na vyombo vya habari muda wowote kuanzia sasa
Ikulu ya Kenya ilitangaza kuwa Rais Kenyatta ataongea na vyombo vya habari majira ya saa 5 asubuhi
Awali, Kumekuwa na wito wa majadiliano kutoka Marekani na nchi nyingine baada ya Raila Odinga kukataa kukubali Uhuru Kenyatta kama rais wa halali.
======
President Uhuru Kenyatta and NASA leader Raila Odinga are currently holed up in a meeting at Harambee House in Nairobi.
The agenda of the meeting remains unknown but the two leaders are expected to address a media conference anytime from now.
State House had announced that the President would hold a media event at Harambee House at 11am.
There have been calls for dialogues from the United States and other countries after Raila refused to recgnise Uhuru as the legitimate president.
Recently, the Foreign Affairs Principal Secretary Ambassador Macharia Kamau had rubbished calls for US intervention in Kenya’s political impasse following a publication by two former ambassadors to Kenya bAmb. Mark Bellamy and Amb. Johnnie Carson.
President Kenyatta had since dismissed any possibility of holding dialogue with the opposition chief saying that the political season is over.
====
UPDATES:
We say that the divide ends here beginning the process of building the bridge that unites Kenyans - Raila Odinga
President Uhuru Kenyatta:
For this country to come together leaders must come together
As we plan ourselves for the future, our future cannot be dictated by the forthcoming election
For me, this marks a new beginning for our country
Very true...In politics there's no permanent enemy or friend just permanent Interest
Mbona Lowassa na Magufuli walishakutana na kupiga picha zenye bashasha na vicheko vya kufa mtu au umesahau?Tukutane kwa mazungumzo kwa isssue ipi sisi ni tofauti na Kenya kaka,Raila na Uhuru wanakutana kutokana na mapungufu yaliyotokana na uchaguzi uliorudiwa je hapa Tanzania ni kipi cha kuzungumza na wapinzani,hakuna mgogoro na uchaguzi ulishapita salama salimini,au unataka wakutane for the sake of kukutana tu kisa Raila na Uhuru wamekutana?
Have a nice dayUhuru is ofcourse trying to secure his tartared legacy after mass murder and stolen erections.
NASARITES dont care of "talks" or lack of them as long as ANASA keeps stealing and being stupid economically. Despot Raila has fallen
Acha unafiki wewe...!?Tanzania magufuli na lowasa walikutana na kuongea, kilichofuata ni kumponda lowasa mzee watu akaona aii isiwe shida akajikalia kimya, leo utasikia tuinge Kenya wakati Tanzania yameshatokea tukatukana.
Ww mbona msaulifu sana? Hukumbuki ya Zanzibar ilivyokua mpaka matokeo ya uchaguz yakasitshwa kutangazwa? Huoni kuna ombwe kubwa la malalamiko ya wapinzan na wana hoja zinazoweza kuleta hali mbaya? Kwan mhe.kikwete alivyo waita wapinzani ikulu enzi zake kwa nn aliwaita?Tukutane kwa mazungumzo kwa isssue ipi sisi ni tofauti na Kenya kaka,Raila na Uhuru wanakutana kutokana na mapungufu yaliyotokana na uchaguzi uliorudiwa je hapa Tanzania ni kipi cha kuzungumza na wapinzani,hakuna mgogoro na uchaguzi ulishapita salama salimini,au unataka wakutane for the sake of kukutana tu kisa Raila na Uhuru wamekutana?
Acha unafiki wewe...!?
Kitendo kilichofanyika leo Kenya ni Kitendo cha kishujaa na huu ndio UZALENDO.
Magu & Lowassa walikuwa na baada ya mazungumzo mmoja anatoka kwenye media na kuanza vijembe Eti wale wenzako uliwatuma watukane..!?
Unajua kama tupo serious kumaliza tofauti na kuijenga nchi itaonekana. Ila kama ni ubabe na kutafuta sababu basi series lazima iendelee.
Big up UHURU, Big up Odinga, Big up Wakenya. Mmeonyesha njia
Pesa sabuni ya roho