Rais Kenyatta na Raila Odinga wamekubaliana kumaliza mgawanyiko uliopo na kulifanya taifa hilo kuwa moja

Rais Kenyatta na Raila Odinga wamekubaliana kumaliza mgawanyiko uliopo na kulifanya taifa hilo kuwa moja

Raila na Uhuru ni viongozi wa kweli, wanaangaliana kwa macho na kuitana ndugu yangu. Huu ndo ukomavu wa kisiasa tunaoutaka. Hamna haja ya chuki zisizokuwa na tija. Kenya hoyee!
 
What does Arap Mashamba have to say about this ?
 
Haya ma.......ta ya bongi land yajifunze Kenya sio kila siku kutoa vitisho,kuna siku atajutia vitisho vyake maana binadamu akichoka nidhamu hupotea na hajali lolote .iyo siku ipo itafika
 
KENYA: Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa NASA Raila Odinga wanakutana na kufanya mazungumzo katika jengo la ‘Harambee House’ huko Nairobi.

Lengo la mazungumzo hayo bado halijajulikana lakini viongozi wawili hao wanatarajiwa kufanya mkutano na vyombo vya habari muda wowote kuanzia sasa

Ikulu ya Kenya ilitangaza kuwa Rais Kenyatta ataongea na vyombo vya habari majira ya saa 5 asubuhi

Awali, Kumekuwa na wito wa majadiliano kutoka Marekani na nchi nyingine baada ya Raila Odinga kukataa kukubali Uhuru Kenyatta kama rais wa halali.
======

President Uhuru Kenyatta and NASA leader Raila Odinga are currently holed up in a meeting at Harambee House in Nairobi.

The agenda of the meeting remains unknown but the two leaders are expected to address a media conference anytime from now.

State House had announced that the President would hold a media event at Harambee House at 11am.

There have been calls for dialogues from the United States and other countries after Raila refused to recgnise Uhuru as the legitimate president.

Recently, the Foreign Affairs Principal Secretary Ambassador Macharia Kamau had rubbished calls for US intervention in Kenya’s political impasse following a publication by two former ambassadors to Kenya bAmb. Mark Bellamy and Amb. Johnnie Carson.

President Kenyatta had since dismissed any possibility of holding dialogue with the opposition chief saying that the political season is over.
====

UPDATES:

We say that the divide ends here beginning the process of building the bridge that unites Kenyans - Raila Odinga

President Uhuru Kenyatta:
For this country to come together leaders must come together

As we plan ourselves for the future, our future cannot be dictated by the forthcoming election

For me, this marks a new beginning for our country

Tunawapongeza. Heri wapatanishi maana watairithi nchi.
.
 
UPDATES:

We say that the divide ends here beginning the process of building the bridge that unites Kenyans - Raila Odinga

President Uhuru Kenyatta:
For this country to come together leaders must come together

As we plan ourselves for the future, our future cannot be dictated by the forthcoming election

For me, this marks a new beginning for our country[/QUOTE]
anamtambua kuwa ni Raisi wa Wananchi na Raisi wa Nchi
 
Tanzania magufuli na lowasa walikutana na kuongea, kilichofuata ni kumponda lowasa mzee watu akaona aii isiwe shida akajikalia kimya, leo utasikia tuinge Kenya wakati Tanzania yameshatokea tukatukana.
 
Ni jambo jema. Wazitupilie mbali tofauti zao kwa manufaa ya nchi. Pia waweke akilini kuwa tofauti zilizopita zimebadiri kwa (kuharibu) maisha na historia ya watu wengi. Wakubaliane MAMBO kama hayo yasitokee kamwe.
 
Tukutane kwa mazungumzo kwa isssue ipi sisi ni tofauti na Kenya kaka,Raila na Uhuru wanakutana kutokana na mapungufu yaliyotokana na uchaguzi uliorudiwa je hapa Tanzania ni kipi cha kuzungumza na wapinzani,hakuna mgogoro na uchaguzi ulishapita salama salimini,au unataka wakutane for the sake of kukutana tu kisa Raila na Uhuru wamekutana?
Mbona Lowassa na Magufuli walishakutana na kupiga picha zenye bashasha na vicheko vya kufa mtu au umesahau?
 
Uhuru is ofcourse trying to secure his tartared legacy after mass murder and stolen erections.
NASARITES dont care of "talks" or lack of them as long as ANASA keeps stealing and being stupid economically. Despot Raila has fallen
Have a nice day
 
Tanzania magufuli na lowasa walikutana na kuongea, kilichofuata ni kumponda lowasa mzee watu akaona aii isiwe shida akajikalia kimya, leo utasikia tuinge Kenya wakati Tanzania yameshatokea tukatukana.
Acha unafiki wewe...!?
Kitendo kilichofanyika leo Kenya ni Kitendo cha kishujaa na huu ndio UZALENDO.

Magu & Lowassa walikuwa na baada ya mazungumzo mmoja anatoka kwenye media na kuanza vijembe Eti wale wenzako uliwatuma watukane..!?
Unajua kama tupo serious kumaliza tofauti na kuijenga nchi itaonekana. Ila kama ni ubabe na kutafuta sababu basi series lazima iendelee.

Big up UHURU, Big up Odinga, Big up Wakenya. Mmeonyesha njia
 
Tukutane kwa mazungumzo kwa isssue ipi sisi ni tofauti na Kenya kaka,Raila na Uhuru wanakutana kutokana na mapungufu yaliyotokana na uchaguzi uliorudiwa je hapa Tanzania ni kipi cha kuzungumza na wapinzani,hakuna mgogoro na uchaguzi ulishapita salama salimini,au unataka wakutane for the sake of kukutana tu kisa Raila na Uhuru wamekutana?
Ww mbona msaulifu sana? Hukumbuki ya Zanzibar ilivyokua mpaka matokeo ya uchaguz yakasitshwa kutangazwa? Huoni kuna ombwe kubwa la malalamiko ya wapinzan na wana hoja zinazoweza kuleta hali mbaya? Kwan mhe.kikwete alivyo waita wapinzani ikulu enzi zake kwa nn aliwaita?
 
Acha unafiki wewe...!?
Kitendo kilichofanyika leo Kenya ni Kitendo cha kishujaa na huu ndio UZALENDO.

Magu & Lowassa walikuwa na baada ya mazungumzo mmoja anatoka kwenye media na kuanza vijembe Eti wale wenzako uliwatuma watukane..!?
Unajua kama tupo serious kumaliza tofauti na kuijenga nchi itaonekana. Ila kama ni ubabe na kutafuta sababu basi series lazima iendelee.

Big up UHURU, Big up Odinga, Big up Wakenya. Mmeonyesha njia

No tuseme ukweli, baada ya kutoka katika mazungumzo Lowasa aliongea na Magufuli akaongea, lakini wananchi wakaanza kuponda, wengine lowasa afukuzwe, wengine walisema Lowasa kaonyesha njia, sisi watanzania wengi ndo hatujitambui, ndio tuofanya viongozi wetu waonekana wabovu, kila kitu tunalalamika, tunalalamika, tutaponda tunatukana, halafu nchi zingine zikifanya kama tulivyofanya tunageuka tena. Wengine walisema lowasa afukuzwe, unaona mzee wa watu toka hiyo siku kaka kimya, Tanzania siasa ni nyingi sana, hivyo tunashindwa tushike lipi.
 
Ni maandalizi ya kumpokea Tillerson - waziri wa mambo ya nje wa Marekani. You cannot inderestimate the powers behind.
 
Top 10 Richest People In Kenya And Their Net Worth - Top 10 Richest People In Kenya And Their Net Worth
List of Kenyans by net worth
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kenya is the largest economy in the East African Community, with a gross domestic product of US$70.539 billion in 2017.[1] Listed below, are some of the wealthier Kenyans.[2]

Name Net worth (USD) Residence Sources of wealth
Swaleh Nguru[3] Mombasa Investments, Ranching, Real estate, Sisal
Bhimji Depar Shah 700 million (2014)[4] Nairobi Investments
Ramon Kariuki Jr. 370 million (2015)[5] Nairobi banking, dairy processing, tire manufacture, transportation
Uhuru Kenyatta & Family (2011)[5] Nairobi banking, hotels, dairy processing, real estate[6]
Chris Kirubi 300 million (2011) Nairobi broadcasting, investments, real estate[7]
Lumumba Washika 290 million (2015) Nairobi Business, investments, Politics[8]
Atul Shah Nairobi Nakumatt Supermarkets[9]
The Makuha Kago Family[10] Nairobi Naivas Supermarkets
Peter Kahara Munga 100 million (2014) Nairobi investments, real estate[11]
James Mwangi & Family 170 million (2014) Nairobi Equity Bank Group, investments, real estate[12]
Raila Odinga & Family Nairobi petroleum products storage, manufacturing, industrial gas storage, ethanol[13]
Manu Chandaria 280 million (2014) Nairobi Comfraft Group of Companies, steel manufacturing, banking, investments, real estate[14]
Abdulkadir Ghedi 87 million (2013) Nairobi cement manufacture, Athi River Mining[15]
Baloobhai Patel Nairobi Trans-World Safaris, investments, insurance, banking, telecommunications[16]
Jane Wanjiru Michuki[17] 52 million (2014) Nairobi Kimani & Michuki Advocates, investments, banking
Mombasa cement 20 billion (2017)[18] Nairobi Investments, Constructions, Real estate
 
Back
Top Bottom