Rais Kenyatta na Raila Odinga wamekubaliana kumaliza mgawanyiko uliopo na kulifanya taifa hilo kuwa moja

Rais Kenyatta na Raila Odinga wamekubaliana kumaliza mgawanyiko uliopo na kulifanya taifa hilo kuwa moja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
odinga uhuru.jpg

KENYA: Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa NASA Raila Odinga wanakutana na kufanya mazungumzo katika jengo la ‘Harambee House’ huko Nairobi.

Lengo la mazungumzo hayo bado halijajulikana lakini viongozi wawili hao wanatarajiwa kufanya mkutano na vyombo vya habari muda wowote kuanzia sasa

Ikulu ya Kenya ilitangaza kuwa Rais Kenyatta ataongea na vyombo vya habari majira ya saa 5 asubuhi

Awali, Kumekuwa na wito wa majadiliano kutoka Marekani na nchi nyingine baada ya Raila Odinga kukataa kukubali Uhuru Kenyatta kama rais wa halali.
======



President Uhuru Kenyatta and NASA leader Raila Odinga are currently holed up in a meeting at Harambee House in Nairobi.

The agenda of the meeting remains unknown but the two leaders are expected to address a media conference anytime from now.

State House had announced that the President would hold a media event at Harambee House at 11am.

There have been calls for dialogues from the United States and other countries after Raila refused to recgnise Uhuru as the legitimate president.

Recently, the Foreign Affairs Principal Secretary Ambassador Macharia Kamau had rubbished calls for US intervention in Kenya’s political impasse following a publication by two former ambassadors to Kenya bAmb. Mark Bellamy and Amb. Johnnie Carson.

President Kenyatta had since dismissed any possibility of holding dialogue with the opposition chief saying that the political season is over.
====

UPDATES:
President Uhuru Kenyatta and Opposition leader Raila Odinga have resolved to work together to unite the country.

Addressing the Press after they held talks at Harambee House, Nairobi, today, President Kenyatta and Mr Odinga said time has come for the country to stop allowing political differences to cause frictions and divisions.

President Kenyatta pointed out that for the country to come together, leaders should discuss their differences freely and openly to end ethnic divisions.

The Head of State emphasised that as leaders, they have a responsibility to discuss and find solutions that will bind, unite the country and free it from a life pegged on a five-year electioneering cycle.

“Elections come and go but Kenya remains; so as we must plan for the future – a future that will not be dictated by the forthcoming elections. Our future must be dictated by the prosperity, stability of our nation and the well-being of our people,” President Kenyatta said.

Mr Odinga said Kenyans “cannot remember why and where they disagreed in the first place”.

“As we fight ostensibly to save ourselves from each other, the reality is that we need to save our children from ourselves. My brother (President Kenya) and myself have, therefore, come together today to say this dissent stops here,” Mr Odinga said.

He emphasized that Kenyans must refuse to allow their diversity to kill their nation.

“We refuse to be the leaders under whose watch Kenyans lead into a failed nation. This is a call to self-reflection. We have to look into ourselves and challenge our readiness to make the changes that will allow our institutional reforms to work,” the opposition leaders said.

Mr Odinga pointed out that as long as the country remained divided, acrimonious, selfish and corrupt, no amount of institutional reforms will improve the lives of Kenyans.

“The reform process will become an exercise in diverting attention from our own failing and taking refuge in the blame game. We, therefore, seek your partnership in this initiative. Fellow Kenyans, we are sailing in this one ship,” Mr Odinga said.

President Kenyatta and Mr Odinga said their meeting today has kicked off a process that will address the causes for divisions and bring the country together.

The two leaders said democracy allows Kenyans space to differ in terms of political alignments, but they must always remain steadfast and united in matters of national interest.

“We look forward to the support from every single Kenyan so that we can build together a united, harmonious and stable nation where no individual feels left out or left behind,” President Kenyatta said.

In a statement signed by President Kenyatta and Mr Odinga, the two leaders said they were standing together to urge every Kenyan, every political leader and formation to compete without using ethnic profiling or by promoting disdain for any group.

“The two leaders respect one another. They have been competitors and even used hard language at times, but they have always been friends and respected one another,” the joint statement said.

President Kenyatta and Mr Odinga agreed to roll out a programme to help in the implementation of their shared objectives. The initiative will be co-led by Ambassador Martin Kimani and senior Odinga aide Mr Paul Mwangi.
 
Wakimaliza mazungumzo waje na kitu cha maana bana. Isije ikawa ni yale ya kulishana vitumbua na chai ya tangawizi tu. Kenya ni yetu sisi sote.
 
Ni hatua muhim kwasababu za kiusalama na ukuaji wa uchumi ktk nchi ya Kenya.
 
Pamoja na ushindani mkubwa na vuta nikuvute ya siasa za Kenya, lakini hawa wenzetu huweka maslahi ya Taifa lao mbele na maslahi yao binafsi pembeni...ni leo hii tarehe 9/3/2018, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Kiongozi wa NASA Bwan.Raila Odinga wanakutana kwa mazungumzo, sisi kinatushinda kipi? Au ndo vile Mbunge wa CCM anavyosema yeye bado haoni kama watu wengi wameshakufa kiasi cha kuhitaji kuwajibishana?

Labda ni kwa sababu viongozi wa wenzetu wanaielewa dunia, wana exposure ya kutosha...Taifa linaposhindwa kuwa na siasa za kistaarabu ndo hapo watu wanaanza kuhoji uraia wa kiongozi, and rightly so...kwa sababu ni wazi kabisa mtu anakuwa hana chembe za tabia za kitanzania!

Soma hapa:
https://www.google.com/amp/s/citizentv.co.ke/news/uhuru-holds-talks-with-raila-193170/?amp
 
Rais anaongea na mtuhumiwa wa uhaini? Mbona haieleweki kirahisi hii!
 
Pamoja na ushindani mkubwa na vuta nikuvute ya siasa za Kenya, lakini hawa wenzetu huweka maslahi ya Taifa lao mbele na maslahi yao binafsi pembeni...ni leo hii tarehe 9/3/2018, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Kiongozi wa NASA Bwan.Raila Odinga wanakutana kwa mazungumzo, sisi kinatushinda kipi? Au ndo vile Mbunge wa CCM anavyosema yeye bado haoni kama watu wengi wameshakufa kiasi cha kuhitaji kuwajibishana?

Labda ni kwa sababu viongozi wa wenzetu wanaielewa dunia, wana exposure ya kutosha...Taifa linaposhindwa kuwa na siasa za kistaarabu ndo hapo watu wanaanza kuhoji uraia wa kiongozi, and rightly so...kwa sababu ni wazi kabisa mtu anakuwa hana chembe za tabia za kitanzania!

Soma hapa:
https://www.google.com/amp/s/citizentv.co.ke/news/uhuru-holds-talks-with-raila-193170/?amp
Tukutane kwa mazungumzo kwa isssue ipi sisi ni tofauti na Kenya kaka,Raila na Uhuru wanakutana kutokana na mapungufu yaliyotokana na uchaguzi uliorudiwa je hapa Tanzania ni kipi cha kuzungumza na wapinzani,hakuna mgogoro na uchaguzi ulishapita salama salimini,au unataka wakutane for the sake of kukutana tu kisa Raila na Uhuru wamekutana?
 
Kwa hiyo tuna maraisi wawili wa Kenya wanakutana. Yaani Raisi wa Jamhuri mwenye dola na Rais wa watu. lol!
 
Tanzania pia tunaweza badilisha tofauti zetu au tunasubiri hadi tudeki damu za ndugu zetu,viongozi mlichaguliwa na wananchi basi muwasikilize wananchi hasa ushauri na malalamiko
 
Hata wale wa Uhuru nao watachanganyikiwa manaake walikuwa wanashadidia kuwa Amolo afungwe kwa uhaini; sasa badala ya kufungwa anakutana na mkuu wa nchi. Confusing!
hawata shangaa sana ikiwa mpinzani wao anaonekana kusarenda mapambano
 
Tanzania pia tunaweza badilisha tofauti zetu au tunasubiri hadi tudeki damu za ndugu zetu,viongozi mlichaguliwa na wananchi basi muwasikilize wananchi hasa ushauri na malalamiko
Ngoja kwanza wahame vyama kuunga mkono juhudi za mfalme. Watakaobaki ndio watahitaji zoezi la kubadilisha tofauti.
 
Back
Top Bottom