Sadoth Rugalema
Member
- Nov 9, 2017
- 97
- 70
Hii ya Kenya imenithibitidhia kuwa wanasiasa wote ni wachumia tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe bado unaamini katika siasa za afrika? Tangu slaa ajiuzulu CDM nilishasignout politics za watu weusiKuna watu walipoteza maisha kisa odinga,kuna watu walifukuzwa nchi kisa odinga,kuna watu wamepata vilema vya maisha kisa odinga,kamwe sintokaa nimwamini mwanasiasa
Wapinzani wanauawa kila siku wewe huoni kama hilo ni tatizo? Basi Rais wenu anahusikaTukutane kwa mazungumzo kwa isssue ipi sisi ni tofauti na Kenya kaka,Raila na Uhuru wanakutana kutokana na mapungufu yaliyotokana na uchaguzi uliorudiwa je hapa Tanzania ni kipi cha kuzungumza na wapinzani,hakuna mgogoro na uchaguzi ulishapita salama salimini,au unataka wakutane for the sake of kukutana tu kisa Raila na Uhuru wamekutana?
Akifanya hvo atakua msenge sanaanataka kujiuzulu ili kuunga juhudi za kenyata nini?
hiyo picha kama ni ya leo, wafuasi waliokusanyika siku ile kushuhudia kiapo sijui wanajisikiaje?
Kwahiyo maalim hana mgogoro hadi kususia uchaguziTukutane kwa mazungumzo kwa isssue ipi sisi ni tofauti na Kenya kaka,Raila na Uhuru wanakutana kutokana na mapungufu yaliyotokana na uchaguzi uliorudiwa je hapa Tanzania ni kipi cha kuzungumza na wapinzani,hakuna mgogoro na uchaguzi ulishapita salama salimini,au unataka wakutane for the sake of kukutana tu kisa Raila na Uhuru wamekutana?
Usilinganishe.... Lowassa alienda ikulu bila kuwasiliana na upinzani ila odinga alishakubaliana na kina musyoka get the differenceWakati mgombea urais wa UKAWA mzee Lowassa alipozuru Ikulu ya magogoni vijana wa Ufipa walitoa povu sana wakimshutumu kwa kitendo kile. Leo Rais Uhuru ambaye ni swahiba wa Lowassa ( siyo Chadema) amempokea kiongozi wa upinzani na kuweka tofauti zao pembeni ili kuinusuru Kenya. Chadema wanapaswa kujifunza kuwa siasa sio uadui hivyo wanapaswa kushirikiana na Lowasa katika jitihada zake za kumuunga mkono mh Rais Magufuli. Ahsante!
Heri yenu mna viongozi wenye akili, bongo wamebeba vifuu vya nazi mukichwa.Raila na Uhuru ni viongozi wa kweli, wanaangaliana kwa macho na kuitana ndugu yangu. Huu ndo ukomavu wa kisiasa tunaoutaka. Hamna haja ya chuki zisizokuwa na tija. Kenya hoyee!
Hawakuongea lolote kuhusu maslahi ya upinzani na kumaliza mgogoro wa upinzani na serikali zaidi alitangaza kumuunga mkono juhudi zake sasa ulitaka wapinzani washabikie ilihali lissu kamiminiwa risasi na ben saanane hajulikani alipoTanzania magufuli na lowasa walikutana na kuongea, kilichofuata ni kumponda lowasa mzee watu akaona aii isiwe shida akajikalia kimya, leo utasikia tuinge Kenya wakati Tanzania yameshatokea tukatukana.
........hata Lowassa alifanya la maana!Usilinganishe.... Lowassa alienda ikulu bila kuwasiliana na upinzani ila odinga alishakubaliana na kina musyoka get the difference
Pia lowassa hakusema wamemaliza tofauti alisema TUMUUNGE MKONO bila kusema jinsi gani watasuluhisha difference zetu ila odinga na uhuru wamesema wazi watakuja na ACTION PLAN so at least wapinzani wa kenya watagain something as in malalamiko yao hayajaenda bure
So kuna difference kubwa sana all in all odinga kafanya la maana
Hapana.... Hakuzungumzia kelele zozote za upinzani what he did was pure selfish........hata Lowassa alifanya la maana!
What is Raila(biggest watermelon) trying to achieve or secure? and what is the way forward for the other now insignificant ANASA principals, the likes of Watermelon Kalonzo, Mdvd and Weta?Uhuru is ofcourse trying to secure his tartared legacy after mass murder and stolen elections.
Kenyans dont care of "talks" or lack of them as long as Jubilee keeps stealing and being stupid economically. Despot uhuru must fall
The problem with you is that you do t seperate Politics and Reform agenda. It does not matter whether Uhuru &Raila are now sleeping in the same bed dry frying each others' mattacore. if the reform agenda is abandoned from these deliberations, we shall own it we the people and pursue it.What is Raila(biggest watermelon) trying to achieve or secure? and what is the way forward for the other now insignificant ANASA principals, the likes of Watermelon Kalonzo, Mdvd and Weta?