Anagalia comments za wenzako Low IQ fellaMbona unapanic kiasi hicho?, hayo maneno yamesemwa na wakenya wenzenu kule KoT, hawa wanachofanya ni "copy&Paste", actually wakenya ndio wenye uwezo mdogo sana wa IQ, haiwezikani waiseme vibaya nchi yao wenyewe kiasi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua mapema na walishaukwaa
Hatua mapema na walishaukwaa
awesomeKENYA: Rais Uhuru Kenyatta amethibitisha kuna wagonjwa wengine wapya 2 wa #CoronaVirus
Atangaza kuzuia watu kusafiri nje ya nchi kwa siku 30 kuanzia leo
Aagiza Taasisi za Elimu kufungwa kuanzia kesho; waliokuja Kenya ndani ya siku 14 zilizopita wajitenge
======
UPDATE: Government suspends learning in the country, all primary and secondary students to be home by 18th March.
All universities, colleges to close by Friday 20th March ~ President Uhuru Kenyatta decrees
President Kenyatta : Suspension of travel of all persons coming from any country with reported cases into the country. #coronavirusinKenya
Sharp baada ya tatizo kuingia... Ndo huwa iko hivyo.Siwezi kulinganisha na nchi zingine kwa jinsi zilivyodelay kuchukua maamuzi.
Hata Rwanda wamekuwa very sharp.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujanielewa.Sharp baada ya tatizo kuingia... Ndo huwa iko hivyo.
Ulimaanishaje labda
Ulimaanishaje labda
Sijui kuhusu UK....nafahamu kuhusu hizi nchi jirani.UK ilianza kuban baadhi ya shughuli ikiwa na victims wangapi wa corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uk wameanza kutake actions kukiwa tayari kuna hundreds of victims.Sijui kuhusu UK....nafahamu kuhusu hizi nchi jirani.
Unamaanisha walichelewa kutake action sio?Uk wameanza kutake actions kukiwa tayari kuna hundreds of victims.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimetua tayari...nahisi tutachukua hatua mapema kama unavyodai
Kusitisha shughuli za mikusanyiko ya watu sasa huku kwetu hadi upepo ufahamike unaelekea wapi lilikuwa jambo la kipaumbele sana.
Tusipoangalia si mrefu tutaanza kulaumiana.
Kuna watu wapumbavu sana dunia hii, bendera fata upepo. Ila kuna huyu jamaa, joto la jiwe ambaye anafaa atwikwe taji la mpumbavu No.1. Amefungua uzi fasta, kichwa; 'Corona imeingia Tz kupitia ARUSHA'. Kisha Mods wakauhamisha hadi kwenye uzi wa habari zilizochipuka. Ambapo taarifa zinasema kwamba mgonjwa, ambaye ni mtz, alisafiri kutoka Ubelgiji.comments za wabongo wenzangu leo kuhusu corona baada ya waziri kutangaza kuwa imeingia bongo sijui zitasema pia ni dili serikali inataka ipige hela?
Wakenya huwa hamna akili kabisa pale mnapoona mihela ya burebure kama hiiHivi mnafikiria $1b ya ruzuku inayotolewa igawanywe baina ya mataifa yote inaweza kukidhi hasara tutakayoingia kwa kufunga biashara zote na viwanja vya ndege, nchi inaingia kwenye "lockdown", tutapata hasara sana ukilinganisha na hivyo vipesa
Wakenya huwa hamna akili kabisa pale mnapoona mihela ya burebure kama hii