mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Anagalia comments za wenzako Low IQ fellaMbona unapanic kiasi hicho?, hayo maneno yamesemwa na wakenya wenzenu kule KoT, hawa wanachofanya ni "copy&Paste", actually wakenya ndio wenye uwezo mdogo sana wa IQ, haiwezikani waiseme vibaya nchi yao wenyewe kiasi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO