Rais Kenyatta: Tumepata wagonjwa wawili zaidi wa Corona, shule zifungwe, hakuna kwenda nje ya nchi kwa siku 30 na walioingia wajitenge siku 14

Rais Kenyatta: Tumepata wagonjwa wawili zaidi wa Corona, shule zifungwe, hakuna kwenda nje ya nchi kwa siku 30 na walioingia wajitenge siku 14

KENYA: Rais Uhuru Kenyatta amethibitisha kuna wagonjwa wengine wapya 2 wa #CoronaVirus

Atangaza kuzuia watu kusafiri nje ya nchi kwa siku 30 kuanzia leo

Aagiza Taasisi za Elimu kufungwa kuanzia kesho; waliokuja Kenya ndani ya siku 14 zilizopita wajitenge

======
UPDATE: Government suspends learning in the country, all primary and secondary students to be home by 18th March.

All universities, colleges to close by Friday 20th March ~ President Uhuru Kenyatta decrees

President Kenyatta : Suspension of travel of all persons coming from any country with reported cases into the country. #coronavirusinKenya
awesome
 
comments za wabongo wenzangu leo kuhusu corona baada ya waziri kutangaza kuwa imeingia bongo sijui zitasema pia ni dili serikali inataka ipige hela?
 
Kusitisha shughuli za mikusanyiko ya watu sasa huku kwetu hadi upepo ufahamike unaelekea wapi lilikuwa jambo la kipaumbele sana.

Tusipoangalia si mrefu tutaanza kulaumiana.

Yamesemwa na kusemwa. Sasa muda kuvuna tulichopanda.

Mgonjwa kaenda mwenyewe hospitali tokea hotelini bila shaka alitumia usafiri. Akapanga foleni, mapokezi na kufika daktari.

Akahudumiwa na wahusika hadi alipothibitishwa ndiyo kuwekwa kwenye isolation.

Wakuu bado wako ofisini wala hata kujiuzulu aah aah.

Makubwa. Haya ni kwetu tu.
 
comments za wabongo wenzangu leo kuhusu corona baada ya waziri kutangaza kuwa imeingia bongo sijui zitasema pia ni dili serikali inataka ipige hela?
Kuna watu wapumbavu sana dunia hii, bendera fata upepo. Ila kuna huyu jamaa, joto la jiwe ambaye anafaa atwikwe taji la mpumbavu No.1. Amefungua uzi fasta, kichwa; 'Corona imeingia Tz kupitia ARUSHA'. Kisha Mods wakauhamisha hadi kwenye uzi wa habari zilizochipuka. Ambapo taarifa zinasema kwamba mgonjwa, ambaye ni mtz, alisafiri kutoka Ubelgiji.
 
Hivi mnafikiria $1b ya ruzuku inayotolewa igawanywe baina ya mataifa yote inaweza kukidhi hasara tutakayoingia kwa kufunga biashara zote na viwanja vya ndege, nchi inaingia kwenye "lockdown", tutapata hasara sana ukilinganisha na hivyo vipesa
Wakenya huwa hamna akili kabisa pale mnapoona mihela ya burebure kama hii
 
Back
Top Bottom