heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393


Diamond bado yupo nchini MarekaNI ,Alikoenda kwa ajili ya maonyesho ya Mziki, na kesho anatarajia kurudi nyumbani, tayari kwa safari ya SA kwenye tuzo za MTV. Mojawapo ya mambo mema yaliyotokea ni pamoja na Raisi Kikwete kukutana na Diamond, kufanya mazungumzo na moja ya kile walichozungumza ni namna ya Kumpa sapoti kwenye nyanja za kimataifa,na mwisho Diamond alimkabidhi Raisi cd yenye nyimbo zake zote na rais aliomba kupewa na namba za Diamond.
Ahsanteni, Nalog out
(kwa kinatomaso hizi hapa links za video za matukio hayo yote :
https://www.facebook.com/photo.php?v=10152913275590283&set=vb.631880282&type=2&theater
https://www.facebook.com/photo.php?v=10152913272855283&set=vb.631880282&type=2&theater
https://www.facebook.com/photo.php?v=10152913267130283&set=vb.631880282&type=2&theater