Rais Kikwete afanya mazungumzo na Diamond na kukubidhiwa CD ya nyimbo zake

Rais Kikwete afanya mazungumzo na Diamond na kukubidhiwa CD ya nyimbo zake

Mi haka karais sikaelewi hata, yaani sijuwi anakuwa na akili gani. Yaani Diamond ndiyo mtu wa kukaa naye na kupiga story, ana umuhimu gani nchini kwetu? Kuna masuala nyeti sana nchini yanayotuhusu wananchi pamoja na usalama wa nchi yetu yeye anayaweka kando eti anakaa na Diamond kunywa chai na kushangaa skyscrapers!
 
Diamond siyo mwananchi??
 
Kwani kuna ubaya gani Viongozi kuwaunga mkono Vijana wao??? Freeman Mbowe akiwa na B.12 wa clouds fm walipokutana club walipokwenda kumsupport Diamond.
 
Pengine haya maandishi yako yameonesha hutulii na kusoma upya unacho kiandika.

Hebu niambie Maana ya Tomaso.

Huna sababu ya kuleta habari na kuingiza maneno ambayo yataugeuza mjadala.

Mimi sitaacha kukushauri kubadilika na sikutegemea kuwa utabisha katika hili.

Jenga mtindo wa kusoma habari zako kabla ya kuzipost, unashindwa kujua kitendo cha kutumia neno Tomaso linaweza kubadili mjadala.

Wewe ni kijana mdogo una muda wa kubadilika.

Samahani lakini.

Ushauri mzuri kama huu ni mwendawazimu peke yake anayeweza kuukataa
 
Jiulize, anachangia nini katika kipato cha nchi yetu? Au analeta faida gani nchini kwetu. Wewe kama mwananchi unanufaika na contribution ipi ya Diaomnd?

Akifaidika yeye pia ni faida kwa Taifa. Kwasababu Mtanzania amefaidika, sasa faida za Mtanzania alifaidika na anaishi tanzania Kama huzijui siyo kosa langu.
 
Mi haka karais sikaelewi hata, yaani sijuwi anakuwa na akili gani. Yaani Diamond ndiyo mtu wa kukaa naye na kupiga story, ana umuhimu gani nchini kwetu? Kuna masuala nyeti sana nchini yanayotuhusu wananchi pamoja na usalama wa nchi yetu yeye anayaweka kando eti anakaa na Diamond kunywa chai na kushangaa skyscrapers!

Ulitaka apige story na bibiyako?
 
kumbuka, mziki unatambulisha nchi husika. mfano diamond kafanikiwa kuingia kwenye tuzo za bet na mtv ambazo ni za kimataifa, so atapofanikiwa kuzpata mashabiki watafatilia yeye ni mtu wa wapi ikiwezekana hata kutembelea nchi husika, kama kina davido tu wanapendwa sana na nchi yao + nchi nyingine.. alikuja carbo snoop hapa, nyimbo zake ni utumbo mtupu ila watu wamezielewa na analipa kodi katka nchi yake..
pia msanii anapopata mauzo mazuri ya kaz zake si analipa kodi kama watanzania wengine?
yeye hata apate pesa na tuzo zote kwangu haitansaidia ila ntakua happy moyoni kwamba TZ ni noumer now tumeenda next level kimziki na wa tu wameelewa..
wasanii wengi wanalilia kuchezwa nyimbo zao MTV,BET,TRACE TV coz hivyo vituo vinatazamwa dunia nzima, binafs skuwah kumfaham fuse odg ila kupitia hizo tv ikabid ni msearch google nipate kujua ni msanii wa wapi, maana nyimbo zake zimechangamka na zinapendwa

tunahitaji kukitangaza kiswahili ambacho kimetokea kwetu wengine wafaham kwamba hiki kitu kina exist...
saf sana JK..
 
Diamond kaimba lugha gani vile? jibu ni KISWAHILI. je kinapatikana wapi vile? jibu ni TANZANIA.. so we kama mtalii na umekiskia kiswahli kwenye nyimbo za wasanii wanaochezwa video zao kimataifa,bas unakaribishwa TZ ujionee mengi tu Ukiachana na shows za diamond,

utaweza kuona wale nyumbu wetu wanaohama kwenda kenya kwa msimu na kurudi TZ...

je, hapo bado faida ya
nchi haijapatikana?

jamani chukien maisha yake lakini sio mziki wake..

Tena ningependa raisi mpya wa 2015 awekeze kwenye mziki na sio mpira maana tushaona na tumeshachoka kuyaona madudu wanayofanya taifa stars..

2015 ni muda wa music sasa mpira ukaushiwe miaka mitano kabisa...
 
Mi haka karais sikaelewi hata, yaani sijuwi anakuwa na akili gani. Yaani Diamond ndiyo mtu wa kukaa naye na kupiga story, ana umuhimu gani nchini kwetu? Kuna masuala nyeti sana nchini yanayotuhusu wananchi pamoja na usalama wa nchi yetu yeye anayaweka kando eti anakaa na Diamond kunywa chai na kushangaa skyscrapers!

Mda ule ni wa entertainment kwa mh. So hamna mbaya ;-)
 
Kosa lako n moja kijana, huna shule kichwani mwako.. Lait ungekuwa na shule usingeachwa na huyo unaempigia promo huku angemov naww popote pale aendapo ili uweze mtangaza vzur..,,rud darasan muda bdo unao HOD

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Unafaham niko wapi saiv,,nya wewe(saiv nikuwajibu ovyo ovyo tu )
 
Back
Top Bottom