Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Hata wangeonana huku ,mngekosa baya la kusema basii!!
At least wangeongelea bongo tungeongea mengine kabisa tofauti na haya, mbona tumezoea kuwaona wote jukwaani bongo hii hii na hatuchongi kivile? Ila hii ya ilala na temeke kukutania new york ndiyo inayo tunoa midomo na kutufanya tubwabwaje humu.