kumbuka, mziki unatambulisha nchi husika. mfano diamond kafanikiwa kuingia kwenye tuzo za bet na mtv ambazo ni za kimataifa, so atapofanikiwa kuzpata mashabiki watafatilia yeye ni mtu wa wapi ikiwezekana hata kutembelea nchi husika, kama kina davido tu wanapendwa sana na nchi yao + nchi nyingine.. alikuja carbo snoop hapa, nyimbo zake ni utumbo mtupu ila watu wamezielewa na analipa kodi katka nchi yake..
pia msanii anapopata mauzo mazuri ya kaz zake si analipa kodi kama watanzania wengine?
yeye hata apate pesa na tuzo zote kwangu haitansaidia ila ntakua happy moyoni kwamba TZ ni noumer now tumeenda next level kimziki na wa tu wameelewa..
wasanii wengi wanalilia kuchezwa nyimbo zao MTV,BET,TRACE TV coz hivyo vituo vinatazamwa dunia nzima, binafs skuwah kumfaham fuse odg ila kupitia hizo tv ikabid ni msearch google nipate kujua ni msanii wa wapi, maana nyimbo zake zimechangamka na zinapendwa
tunahitaji kukitangaza kiswahili ambacho kimetokea kwetu wengine wafaham kwamba hiki kitu kina exist...
saf sana JK..