Rais Kikwete afanya mazungumzo na Diamond na kukubidhiwa CD ya nyimbo zake

Hata wangeonana huku ,mngekosa baya la kusema basii!!

At least wangeongelea bongo tungeongea mengine kabisa tofauti na haya, mbona tumezoea kuwaona wote jukwaani bongo hii hii na hatuchongi kivile? Ila hii ya ilala na temeke kukutania new york ndiyo inayo tunoa midomo na kutufanya tubwabwaje humu.
 
Daa Tanzania Raisi tumekosa

Hata raia awaje watanzania amridhiki sijui mpate wa aina ghani mtaridhika....kwani kuna ubaya ghani raia kujichanganya na wasanii au watu maarufu? Au mnamtaka awe kama yule babu wa kusini kabla yake.....
 
Hata raia awaje watanzania amridhiki sijui mpate wa aina ghani mtaridhika....kwani kuna ubaya ghani raia kujichanganya na wasanii au watu maarufu? Au mnamtaka awe kama yule babu wa kusini kabla yake.....


Tanzania kila kitu tumekosa hadi wafikiriaji !
 
Domo anafanikisha biashara ya mwanae,hakuna jipya
 
pole lutashobya na ushauri wote bado anakutusi
 

Sasa ulipotumia kauli, "Akina Tomaso", ulimaanisha nini kama sio wabishi wanaoamini kwa vithibitisho?
 
Ukiwafata watz utapasuka tu,so na mimi ukicoment upuuzi na mimi nawajibu kipuuzi,coz hamanaga jema hata mtu ufanye nini

Kosa lako n moja kijana, huna shule kichwani mwako.. Lait ungekuwa na shule usingeachwa na huyo unaempigia promo huku angemov naww popote pale aendapo ili uweze mtangaza vzur..,,rud darasan muda bdo unao HOD


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…