Si kosa lako, just rudi shule.
Jiulize, anachangia nini katika kipato cha nchi yetu? Au analeta faida gani nchini kwetu. Wewe kama mwananchi unanufaika na contribution ipi ya Diaomnd?
Diamond ametoa ajira kwa watanzania wenzake,ana wacheza show,ana mpiga picha,ana dj,ana baunsa,ana meneja na awa wote anawalipa....ajira zisizo direct ni kwamba kuna watu wanauza nyimbo zake wanapata pesa,kuna watu wanamtumia kwenye Matamasha yao wanapata pesa,kuna watu wanauza ata habari zake na wote awa ni watanzania wenzetu....Ilo la wananchi wote kunufaika na kazi za diamond ni upumbavu,Yani kuangaika aangaike yeye alafu we umeweka wowowo unasubiria na wewe unufaike schupit kbs