Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

Duh kwamaana iyo makomeo ni mdoli tu remote itakuwa msogwa au bagamoyo
 
Manyerere uko sahihi kabisa na hii ndio hoja ambayo watu wengi tunaoangalia mambo objectively tuliyo nayo. Huyu ndio Kikwete katika rangi zake halisi. Na hii inathibitisha kuwa Tanzania Mwenyezi Mungu anatupenda sana - yaani kama nchi/jamii tumeweza ku-survive miaka kumi tukiwa mikononi mwa binadamu wa aina hii. Ninasisitiza neno 'tume-survive' kwa maana tumepita kwa kudura za Mwenyezi Mungu. Na kama tungekuwa binadamu wenye fikira za kawaida, tulipaswa kutoa adhabu kwa kuikataa, hapana, niseme kwa kuipumzisha ccm. Lakini tuko namna tofauti - wanazuoni wa nchi za magharibi inabidi wa-design tafiti za aina ya pekee kutu-study tu binadamu wa fikira zipi.
 
Nina imani mwenyewe anasoma hizi post halafu anacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeka!!!
 
Somaibara ya 42 (3)(a) ya katiba ya jamhuri ya muungano uone madaraka ya rais yanakomea wapi .na kama huju hata kesho anaweza kufanya uteuzi hata mara baada ya kura kupigwa

Siyo kosa kikatiba
na ndio msngi wa rasimu pendekezwa ya Wananchi (sio hii ya change)....Kuondoa uozo kama huu...

Ibara ya 42 (3) kifungu a kinampa ruhusa kufanya hivyo
hajakiuka katiba..kulikuwa kuna ulazima gani kama si fadhila na kuanza kumpangia safu Magu(ambaye naye Kaunda tume ya kuja kumshauri)

Na hakuna mahusiano yoyote kati ya uchaguzi huu na uteuzi wa vyeo hivyo
''circumstantial evidence'' proves otherwise
 
Tunapozungumzia mabadiliko kuanza na katiba itakayopunguza na kudhibiti madaraka ya Rais yaliyopitiliza ccm hawataki. It is perhaps only in tz where such illogical appointments of senior leaders can be made in the wee hours of an incumbent president - no vetting, nothing! Mungu Ibariki Tanzania.
 
Yani hawa watu hawa... Hivi aliambiwa yeye ndio anayeweza kuteua tu?
 
Waliokuwa wanashangaa wakuu wa wilaya kuteuliwa wiki 2 zilizopita ndio mjue rais ana mamlaka bwana,rais ni mkuu wa nchi,cjui mmenielewa!!
 
Watu nnaoshabikia ccm jifunzeni jaman,hv tufanyeje mtuelewe,ahhhhhh!!!!hayaaa endeleeen sasa!!!!
 
Acha kutugawa wananchi Watanzania ,Chadema asilia ndio mdudu gani huyo.Haya makundi ndio sababu ya kufeli katika kila kitu.Wewe unafurahia tu kodi zetu kutumika vibaya?.Katiba inayomfanya binadamu kuonekana kama Mungu mtu wew unaifurahia tu...

Ulimchagua kwenyewe ndo maana yupo hapo!!!km amekukosea msamehe
 
mnaona uchungu mlitaka nafasi zote wapewe wa kaskazini jk bado ni rais

Kk ni rais mzuri jaman anatupenda watanzania wote tena tusiwe na hasira tulimchagua mm na ww tukiwa na matumain tele lkn mpk Leo ni wha?aaaah,polen watz
 

Acha wachote hata bil 100 lkn ccm iondoke madarakani,uone aibu kumtetea mfu basi!!!!
 

hyu jamaa tatoka tu
 
nilishasema mtavimba mpaka mtapasuka bure,,,,na mkiindeleza kilomolomo atateua hadi tarehe 30,,,,just to prove a point...

wewe sidhani kama una familia Ku...ma wewe, hata wewe mwenywe hata kuti...wa na mbeke huwa hukumbuki unatakaga nyuma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…