Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,095
nilishasema mtavimba mpaka mtapasuka bure,,,,na mkiindeleza kilomolomo atateua hadi tarehe 30,,,,just to prove a point...
Sheria inaendana na busara. Dibagula, alipofungwa kule Morogoro, sheria ilifuatwa. Akahukumiwa; lakini mazingira ya uvunjifu wa amani uliifanya Mahakama ya juu ione busara ya kufuta kabisa ile hukumu kwa mkosaji. Unachoona hapo ni kwamba pamoja na sheria kuwa ilitumika vizuri, bado busara ilitawala na ikaifanya nchi ikatulia.
Kwa hili la JK kuendelea na uteuzi hadi dakika za majeruhi ni kweli Kikatiba yuko sahihi, lakini busara inagoma kabisa! Huwezi kuwa unajindaa kuondoka madarakani wiki moja ijayo halafu ukaunda safu unazotaka wewe. Hii ni gharama. Kumbuka, huyo anayekuja anaweza kupangua wote hao, na wakalipwa mafao! Mzigo ni kwa mwananchi maskini. Yeye atakuwa anakula maisha yake ya ustaafu kama kawaida. Fikiria, mtu dhaifu kabisa kama Kipande anampa madaraka baada ya kuvuruga Bandari! Huyu Rais ni wa pekee, si kwa Afrika Mashariki na Kati pekee, bali ulimwengu mzima. Tulipomuunga mkono mwaka 2005 hatukujua tunaunga mkono aina hii ya kiongozi! Mungu atusamehe. Watanzania watusamehe, na zaidi ya wote; Dk. Salim Ahmed Salim atusamehe!!
Ndio sababu ccm hawataki katiba mpya kwa ajili ya huu upuuzi, inakera sana kwa kweli.
Maswi kapelekwa Kifungoni (RAS) kwa ajili ya madudu yake katika ESCROW, na Omary Chambo aliekua kifungoni ndio kamaliza adhabu na kurudi kwenye Ukatibu. Pia Engineer Madeni Kipande nae kapelekwa kifungoni (RAS) sababu ya madudu yake pale bandarini.Maswi karudi tena? nimeamini huyu jamaa sio mzima kichwani na hakitakii mema chama chake!
Yote yanafanywa kwa mujibu wa sheria.
Hakuna Raıs mzurı km Kikwete ukimwacha Nyerere.
Ni haki yake kisheria, lakini kibusara ninashaka.
Kuna watu mko mambumbu sana alafu eti mnataka kuongoza dola,dah!
busara ipi iliyokiukwa hapo?,,,,tatizo la bavicha bana ni ushabiki uliopitiliza,,,sasa hapa jk amekiuka busara ipi hasa?hebu tufafanulie....
tatizo lingine la bavicha ni wivu wa kike,,,,,
Unaumwa. Nenda kapate vipimo
Jk tutakukumbuka boss
Ummy mwalimu wa moto sana huyu !!
Ahahahahha!!! Wee jamaaKikwetee mpumbavu sana hata mtoto anauliza huyu si angemuachia Rais ajae ndoo aje ateue