Mikael P AwedaLa sivyo, hatakuwa na historia nzuri. Sisi chadema hatutaki kumwaga damu na hatuna historia hiyo. Kumbu kumbu zote za umwagaji damu zimekihusisha serikali ama Jeshi la Polisi, hakuna mahali ilipohusisha chadema. Tuko pamoja nadhani.
Historia nzuri ni kuifurahisha Chadema? Maana mpaka sasa hivi mamilioni ya watanzania wana imani na utendeji wake wa kazi! Kwa kumalizia mh. Raisi haihitaji ushauri wa Kitila Mkumbo kwanza kama nani yeye amshauri raisi? Wapo watendaji serikalini na ndani ya CCM wanalipwa kwa kazi kumshauri raisi; haithitaji msaada wa watu wenye uduni wa fikra!