Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ushauri unatolewa na mtu yoyote lakini sio kutoka kwa watu wenye uduni wa fikra kama nyie mnao utaratibu wa kupokea ushauri kutoka kwa watu wenye matatizo ya akili nyie endeleeni na utaratibu huo haishangazi sana kuona jinsi mambo yanavyokwenda ovyo ndani ya Chadema kama washauri wenyewe ndio hao!
mwambie mbowe aache ufisadi. kwann anajenga makasri nje ya nchi?? hizo hela ameiba wapi
Mkuu Rais Kikwete atachagua kufurahisha watanzania au ccm. Atachagua lipi? Hawezi kuchagua vyote kwa wakati mmoja. Hii ndo mada
Mh. Kikwete sio raisi wa CCM ni raisi wa watanzania wote tatizo lako ni hili la kulazimisha vichaa kumshauri raisi!
Kama Dr Kitila Mkomba unamfananisha na Kichaha basi kwa leo nimesitisha mjadala wa aina yo yote na wewe. This is too much for me.