Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,501
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.



=======================================

 
Haya sasa mapya,au ndio spining zenyewe,a.k.a diversion!
 
Hii isue ya JK na RIz1 kunasiku itakuwa wazi, n mda tu!
Hata mimi naona hivi. Kwa maana mwanzoni nilijua ni uzushi wa kibongo lakini sasa kama swali lilelile limeulizwa Marekani basi huu ni uzushi unaovuka mipaka na inabidi tuuite 'uzushi wa kimataifa'. Naanza kulifuatilia hili swala pia kuanzia sasa.

 
Hata mimi naona hivi. Kwa maana mwanzoni nilijua ni uzushi wa kibongo lakini sasa kama swali lilelile limeulizwa Marekani basi huu ni uzushi unaovuka mipaka na inabidi tuuite 'uzushi wa kimataifa'. Naanza kulifuatilia hili swala pia kuanzia sasa.

Kwanza lazima ujue kuwa waliouliza swali hilo ni hao hao waliozusha uzushi huo
 
Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu sana! Sasa sijui 'rahisi' wetu huwa anapoteza kumbukumbu au hupiga viroba kabla ya kuanza kuongea?
 
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…