Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Jamaa ni muongo aliyepitiliza na wala hapepesi macho anapokuwa anadanganya umma wa Watanzania.

Maisha gani kayaborosha huyu JK?
Kiukweli kadri siku zinavyozidi kwenda mbele na uwongo wa Jk na ccm yake ndo maisha yetu watanzania yanazidi kuwa mabaya sana!!
Huku gesi yetu ameiweka rehani kwa wachina ili kumuokoa mwanae!!!
 
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg


=======================================

Hawana sela hao ni majuha, hata kwenye kampeni za ubunge chalinze waliongea huo ujinga hatuku wasikiliza
 
alieuliza swali alijitoa muhanga kuuliza ila huwezi ukamuuliza swali kama hilo mtu akubali?
 
hakuna mtu yoyote ambaye angeweza kukubali hata kama ni ukweli unaojulikana. amefanya alichotakiwa kufanya KUKATAA.

Usanii ni kipaji, karama kutoka kwa Maulana. Chezea wewe!
 
Nakumbuka Zamani nikiwa mdogo kulizuka uzushi buguruni kuna mtu kageuka chatu! Wabongo noma sana!
Simkubali jk kwa mambo mengi ila sipendi uzushi.

If you didn't ear it with your own ears Or see it with your eyes, Then do not invent it with your small mind And share it with your big Mo.ther.fu.cke.n Mouth.
 
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg


=======================================

hahahahahahaha hata me ndio ningekua kikwete nisingekubari
 
Hilo la kuipenda nchi nimelifurahia, watu wanaoipenda hii nchi wamepungua sana...
 
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....

Ilianzia hapa......

http://jasonbournetz.wordpress.com/2012/09/07/rais-jakaya-kikwete-aiweka-nchi-rehani-kumuokoa-mwanae-asinyongwe-china/

Rais Jakaya Kikwete aiweka nchi rehani kumuokoa mwanae asinyongwe China.

September 7, 2012

Ningumu kuamini lakini ni UKWELI

Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed.

Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,

Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,
Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,

Gari ya kiraia namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong,

Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni "Now we are going to Africa", ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk.

Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.

Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz.

 
Hata huyo alieliza pia ni mjinga. Utasikiaje habari katika vijiwe vya kahawa na kwenda kumuuliza rais?
 
Daaaaaaah Hilo tamko limetoka kurugenzi ya mawasiliano Ikulu?

Nilipoliona nikadhani mipasho ya kina Khadija kopa
 
hata wewe nahisi unatatizo la kupoteza kumbukumbu kama sivyo basi unatumia viroba kabla ya kufikiria.
 
Kwa mtizamo wangu kama ningekuwa kwenye nafasi yake ningepiga kimyaaaaa....
 
hajakanusha wala kukubali hoja....kihistoria huwa ndio tabia yake kutoa majibu ya njia panda kwenye ukweli
 
Mwongo akiongopa shika jembe ukalime, akiukana uongo shika kikapu ukavune, yaliyomo yamo kama hayamo yaja kaatayari ngwe moja iishe tuone
 
Back
Top Bottom