angeachwa tu anyongwe na sio kutoa ges yetu kisa rzone
Natamani km angekuwa mwanao wa kumzaa ili nione uthabiti wa kauli yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angeachwa tu anyongwe na sio kutoa ges yetu kisa rzone
Hivi ni kweli anachosema JK;"Ninaipenda nchi yangu na sifikirii kuiweka rehani?"
Hapo hadi kufa kwake hawezi kukiri.
Ila wakiwa kwao chalinze wanakumbushia
hivi haya unayoandika yanakusaidia nn?
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....
Ilianzia hapa......
http://jasonbournetz.wordpress.com/2012/09/07/rais-jakaya-kikwete-aiweka-nchi-rehani-kumuokoa-mwanae-asinyongwe-china/
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....
Nyabhingi, mimi nilikwisha waambia humu JF kuwa ukimuona anafanya ziara za mikoani ujue anazuga kwani anakuwa amekwisha tayarisha safari ya kwenda majuu!! Juzi alikuwa huko Ruvuma na baada ya kutoka huko huyoooo U.S.A. ziara ya kiakzi ya siku !!!!huyu rais amechafuka kwa kashfa kuliko rais yoyote!kumbe yuko marekani!safari ya ngapi hii wadau?
Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu sana! Sasa sijui 'rahisi' wetu huwa anapoteza kumbukumbu au hupiga viroba kabla ya kuanza kuongea?
Mbona taarifa yenyewe inahusu uraia pacha? Hilo la China na Ridhiwano kaliongelea wapi?
Hii isue ya JK na RIz1 kunasiku itakuwa wazi, n mda tu!
huyu rais amechafuka kwa kashfa kuliko rais yoyote!kumbe yuko marekani!safari ya ngapi hii wadau?
Juzi amekanusha kwamba hakuzindua Bunge maalum la Katiba, ila alikuwa anatoa maoni yake tu!
Lakini mkuu usisahau nafasi hiyo hiyo ya udiplomasia ya kutokaguliwa aweza kuitumia ndivyo sivyo.. yaani kwamba kwake yeye ikawa ni rahisi kupita kidplomasia zaidi na mzigo kuliko punda! 'Just thinking from the other angle'