Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Hakuna cha ziara ya kikazi nchini marekani wala nini...kikwete kazi yake ni kusafiri nchi za watu na kustarehe na vimwana. ..kazi kufuja pesa za nchi...upumbavu mtupu!
 
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg

=======================================

nyie kurugenzi ya habari nahisi hamna kazi ya kufanya. Mnatoa taarifa kama hii kwa vyombo vya habari ili iweje? Nilitegemea mngeongea yale ya maana ambayo Rais aliyazungumza na watanzania huko marekani. Lakini mmekuja kutoa taarifa ambayo Rais ameshasema ni upuuzi. Tena upuuzi wa mtaani... Sasa je nyie kurugenzi ya habari mnatuletea habari ya kipuuzi mnatutaka sisi tujadili upuuzi??? Kwa kuwa ni upuuzi basi mngeyaacha hayo maneno kama yalivyo aliesikia asikie na asiesikia basi... Kwa maana nyingine nyie ndio mnataka kumfanya Rais amekosea kusema huo ni upuuzi.
 
Juzi amekanusha kwamba hakuzindua Bunge maalum la Katiba, ila alikuwa anatoa maoni yake tu!
Maoni alitakiwa akatoe kwenye tume ya kukusanya maoni juu ya katiba mpya...........kwenye BMK yeye si mjumbe alienda kufanya nini? kama ni mtanzania wa kawaida...............? asitudanganye aliingia kama Rais wa nchi kwa lengo la kuzindua BMK..................haya ndiyo mambo ambayo baadae yakiharibika unashitakiwa................!!!! kwa kuiingiza Nchi kwenye machafuko.............................
 
kama kawa mzee mzurulaji.
sisi wa mtaani tunasema sana ukweli
 
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg

=======================================
...Hii habari ya China ni ya kweli kabisa.....Huu ni wakati wa JK kujisafisha kabla hajaachia ngazi....ameanza juzi kujitahidi kujisafisha dhidi ya tuhum za kuharibu mchakato wa katiba mpya alipofungua bunge.....Leo anajisafisha dhidi ya tuhuma za kutuweka rehani kama nchi China ili kumwokoa mwanae.....baadae atakuja na kutaka kujisafisha dhidi ya richmond na IPTL.....na wale wezi wa EPA aliowaachia.....na wauza unga anaowafahamu lakini hawachukulii hatua......huu ni mkakati maalumu wa ikulu na JK personally...Watashindwa tu.....

..Ndio maana kila mara anapoongea na watanzania nje ya nchi anawaambia wajiepushe na mitandao.....anajua mitandao imeleta mapinduzi ya kifikra sehemu nyingi duniani....
 
Mtoto wa Rais kufanya biashara ya madawa ya kulevya au kushakiwa tu,ni kashfa kubwa. Kwa nini Rais aje kuliongelea kipindi hiki wa hekaheka na katiba mpya? Kesho ndo BMK linakaa, halafu hii mnaloita upuuzi linaletwa. Kuna mchezo unachezwa.
 
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg

=======================================
Anaenda sana marekani kuliko msoga,au ndio anaendaga kubadilisha damu?
 
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....

Hili jamaa linaongea vitu gani..? Eti lina UHAKIKA
 
Juzi amekanusha kwamba hakuzindua Bunge maalum la Katiba, ila alikuwa anatoa maoni yake tu!

wakati wa maoni si ulishaisha na rasimu kukabiliwa kwake mara 2 na kuisaini? Hayo maoni yangekua na impact gan kwa rasimu ilokuwa mezani? Kwann mwenyekit wa bunge alidai rais ndo anakuja kuzindua bunge na baada ya kunuka anakanusha? Inaelekea mambo yake anafanya pasipokufikiri kwa kina
 
Back
Top Bottom