Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Kama hizo taarifa zinazosikika ni upuuzi kwa nini asimtafute anaezieneza na kumfanyia mfano?.Hivi kweli raisi anaweza kuchukua muda wake kuuzungumzia upuuzi au anatutoa kwenye ajenda ya katiba mpya?
 
well, hakuwa na diplomatic passport by then... ila alikuwa na nyenzo (fedha) za kuwaajiri vinaja wengi atakavyo kama kweli alikuwa anajihusisha na hayo madawa ya kulevya! BTW Rais huwa anapewa information nyingi za kujua hatari zinazomkabili yeye na familia yake! Msisahau kuwa Mengi aliwahi kupambana na Maharamia waliokuwa wanamtumia mwanae !!! Kwanini tusiamini kuwa ulikuwa ni mtego wa kumuingiza mwanae kwenye kashfa kama kweli ilitokea bali tunaingia kwenye conclusion kuwa Rizwan anahusika na biashara ya Sembe?... Bado sija shawishika kuwa Rizwan ni Duwanzi kiasi cha kushindwa kupima Risk ya yeye kujihusisha na madawa ya kulevya... I stand to be corrected!!!

Unaishi wapi wewe/
Nishasemaga watu wabishi kama nyie Nendeni magomeni pale Nyumbani kwake Kikwete alipokulia, Ulizia wanachi watakuambia ni nini dogo anafanya na ni watu wangapi wamefungwa huko nje kwa ajili ya kuiga biashara ya jamaa. maana huwa anawatuma na wakikamatwa anawatoa, lakini watu wakishaenda mara mbili wnatamani kwenda wenyewe kimyakimya, na wakienda wanadakwa kwa kuwa wanakuwa hawana network ya dogo.
 
Hata mimi naona hivi. Kwa maana mwanzoni nilijua ni uzushi wa kibongo lakini sasa kama swali lilelile limeulizwa Marekani basi huu ni uzushi unaovuka mipaka na inabidi tuuite 'uzushi wa kimataifa'. Naanza kulifuatilia hili swala pia kuanzia sasa.


ikija kuthibitishwa ni kweli utauita je?
 
Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu sana! Sasa sijui 'rahisi' wetu huwa anapoteza kumbukumbu au hupiga viroba kabla ya kuanza kuongea?

Kwani awali alikuwa amekubali na sasa akakataa?
 
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....

Ndo lumumba walivyo kutuma?
 
Hivi ni kweli jk anaipenda Tz? Maana nimekua na shaka na hiyo kauli
 
nasikia leo kulikuwa na mkutano wa mashoga pale serena hotel. vipi nyie mashoga mlihudhuria? maana nasikia mnagawa mitaani hivyo viboga vyenu kama kikombe cha babu loliondo.


Ulitegemea akubali?

hakuna mtu yoyote ambaye angeweza kukubali hata kama ni ukweli unaojulikana. amefanya alichotakiwa kufanya KUKATAA.

Hii isue ya JK na RIz1 kunasiku itakuwa wazi, n mda tu!

Swali kwanza,alikamatwa nayo au hakukamatwa nayo?

Hahaa huyu mzee huyuuu..haya itafahamika tu..matonya mbona alisema live kuwa mshua ndo aliwaokoa china

naona imekuingia, subiri ipenye
hii nchi sio ya familiya bana

Hapo hadi kufa kwake hawezi kukiri.
Ila wakiwa kwao chalinze wanakumbushia
 
Hata mimi naona hivi. Kwa maana mwanzoni nilijua ni uzushi wa kibongo lakini sasa kama swali lilelile limeulizwa Marekani basi huu ni uzushi unaovuka mipaka na inabidi tuuite 'uzushi wa kimataifa'. Naanza kulifuatilia hili swala pia kuanzia sasa.


na uzushi hauwezi kutokea marekani kuja huku??

ebu kueni jamani, hao DMV ndio maswali ya kijasiri ya kumuuliza rais?? hakuna aliyemuuliza uzushi wa yeye kula wakuu wa wilaya??

hivi nani katuroga?? the guy was real serious to ask such question??

Hivi Rizwan alibeba madawa ya sh ngapi?? na hiyo hela alishindwa kupata kama mtoto wa raisi??

Nonsense!!!
 
quote_icon.png
By Victor wa happy
Hapo hadi kufa kwake hawezi kukiri.
Ila wakiwa kwao chalinze wanakumbushia

Victor, nakuomba kama una ushahidi tukutane tumpeleke mahakamani, kama si Tanzania Kimataifa.

Maana sasa kakanusha kuwa huo ni upuuzi, sasa wewe tuhakikishie si upuuzi. Mimi ntagharamia gharama zote za kesi.

Mwaga ushahidi.
 
Chadema wangekuwa wanaamini kuwa hiyo ni kweli, wangekaa kimya mpaka leo?

Mtu hajajamba wao wanasema kajamba, hii jee? fikiri!
 
Uliamini ni kweli?

Wewe mbona unaamini Allah yupo na hujawahi muona wala mtume wenu hajawahi muona. Na kama utachukulia ule msemo wa lisemwalo lipo basi na ya riz yanawezekana yalitokea ila hakuna binadamu wa sasa anayeweza kubali kosa kama alilozushiwa jk. Hata mwamedi angese"ma kwake ni sawa kufanya hivyo na si kwa wengine hoja ingeisha
 
quote_icon.png
By Victor wa happy
Hapo hadi kufa kwake hawezi kukiri.
Ila wakiwa kwao chalinze wanakumbushia

Victor, nakupmba kama una ushahidi tukutane tumpeleke mahakamani, kama si Tanzania Kimataifa.

Maana sasa kakanusha kuwa huo ni upuuzi, sasa wewe tuhakikishie si upuuzi. Mimi ntagharamia gharama zote za kesi.

Mwaga ushahidi.
andika kwa kiswahili hilo neno ni nakuomba sio nakupmba maana wewe huishi bila kukosoa watu
 
Imesemwa kuwa kesi dhidi ya slaa iko mahakaman na haijatajwa kwanini?? Tuumalize huu 'upuuzi'
 
jamani mpeni pumzi mzee wa watu kila jambo mnamuandama kwani nini !!!!.katiba mnasema kaharibu yeye, madawa ya kulevya mwanae, majagiri majina anayo yeye, gamba limegagania yeye. mumuache jamani!!!!
 
na uzushi hauwezi kutokea marekani kuja huku??

ebu kueni jamani, hao DMV ndio maswali ya kijasiri ya kumuuliza rais?? hakuna aliyemuuliza uzushi wa yeye kula wakuu wa wilaya??

hivi nani katuroga?? the guy was real serious to ask such question??

Hivi Rizwan alibeba madawa ya sh ngapi?? na hiyo hela alishindwa kupata kama mtoto wa raisi??

Nonsense!!!

Kwa kukusaidia tu. Biashara haramu
duniani ndo the most paying. Riziwani
kama mtoto wa rais hawezi kupata
mtaji wa milion 200 kihalali kutokana
na urais wa baba yake. hilo amini. ILA

1. Anaweza kufanya biashara yoyote
kwa mgongo wa baba yake kama rais
akakwepa kodi hadi akawa milionea.


2. Anaweza kuopt biashara haramu
kama pembe za ndovu, sembe au hata
kuuza nchi na akawa tajir. KWA HIYO...
Ni suala la option tu kwa Rizione
kuamua. Kama alichagua njia ya Sembe ni moja kati ya option alizonazo
OTHERWISE...

Kama mtoto wa rais kwa maana halisi
ya rais mzalendo, riz1 hawezi kuwa na
mtaji huo. Na kama ni influence ya
baba BASI hiyo ni biashara haramu
sawa na sembe. KWA HIYO

Uwezekano wa riz1 kuuza sembe
hauondoki. sio lazima abebe yeye.
anaweza kubebesha punda na wakati wa malipo akanaswa.

Brother usiseme nonsense. Usiwe
mp.um.bavu jitahidi kuwa mjinga maana kuna siku inaweza kufika ukasema AHAAA. Hiyo ndo huitwa na wanasaikolojia AHAA EXPERIENCE
 
kuna wengine humu mnataman mngekuwa wanawake muolewe na riz!! huo ni wivu wa kijinga! kila kitu riz riz achen wivu kuna watu tuna mashiko kuliko huyo riz na tunapiga dili za halali tu,karibu geita achen wivu na umbea,riz kama mtt wa rais angeweza kupata mtaj popote na akapiga hela kuliko hayo madawa,thanx mr presdaa hao waliokuuliza ndio walioanzisha huo uzushi,wanajifanya wanajuuua,kwanza wengine wanaona noma kurud bongo kwan wamechokaaa,rudin tu kama mmezoea barua njoon mkaish mafinga kama barafu hata kwenye frij ipo achen wivu
hapa unakosea
hatumkubali rz1 na hatumpendi ila penye ukweli tuwe wakweli kwamba rz1 kama anauza unga hawezi kukosa mapunda
kwa cheo cha utoto wa rais hata baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wangekuwa mapunda watake na wasitake

rz1 ananafasi ya dili haram kibao akitaka na sii kubeba unga mwenyewe
 
Back
Top Bottom