Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Yupo Marekani?Hivi hizi ziara zote akifika kule anapokelewa na Obama au?Sasa huyo Obama si atachoka?Kila mwezi!Au atakuwa anapokelewa na waziri wa viwanda tu.
 
Mbona taarifa yenyewe inahusu uraia pacha? Hilo la China na Ridhiwano kaliongelea wapi?

hivi wewe na akili zako mbili hizo unadhani unaweza uka sikia alipo liongelea swala hilo??? Subiri haddi utakapo anza kutumia akili zako halali huenda utaanza kujua mambo mengi, vinginevyo endelea kukaa huko huko gizani,
 
Yupo Marekani?Hivi hizi ziara zote akifika kule anapokelewa na Obama au?Sasa huyo Obama si atachoka?Kila mwezi!Au atakuwa anapokelewa na waziri wa viwanda tu.

obama hana mda wa kupokea ombaomba asiye choka ,huwa napokelewa na afisa mtendaji wa kata za huko us
 
I hope its not a trap....things don't happen randomly, my belief. if there are strategists behind this move...well it remains to be seen....(why is the question raised to him now directly??? close to the election???)
 
Hahahahahaha..mdau umenichekesha sana unauliza safari ya ngapi hii..halafu atakaa huko siku tisa can you imagine ukae marekani siku 9 na wewe ni kiongozi wa nchi na gharama zote utakazotumia..duhh
 
andybird314 ushahidi wanao wale waliopo jela za HongKong, Macau na China waliotumwa na Ritz1, bado unabisha tuu???
Wengine wamenyongwa juzi juzi, ashukuru baba yake kumilikisha gesi yetu na bandari zetu kwa Wachina, angeshazimika kama wenzake!!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....

Mbona Mafisafi wanafanya ufisadi wakati wana hela nyingi tu. Mwanadamu mwenye taama anaweza kufanya chochote ili apate hela.
Unaweza ukatwambia Ridhiwani alifanya kazi gani mpaka apate ukwasi aliinao ndani ya muda mfupi (about 7 yrs). Madili hayo bila shaka ndo yalimpa mpunga huo lkn mikataba ya kinyonyoji inaiua nchi.
Tafakari mtanzania
 
Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....

Huo unga ndugu una hela ndefu sanaa siyo vibarua uchwara uchwara, kule Namibia kama sikosei ivi karibuni alikamatwa Mh ambaye ana mamlaka makubwa karibu na Rais labda kwa hapa kwetu ni kama Waziri Mkuu akilitumia gari la Rais wa nchi yake kusafirishia Unga kutoka sehemu moja kwenda nyengine itakuwa Ridhiwan? Lisemwalo lipoo!!
 
Inauma sana..!!!!!! INAUMA SANA KUGAWA MALI ZETU KAMA ZAWADI MJOMBA.
 
"Utter nonsense spoken out of ignorance"
Mwenye kumbukumbu atuambie haya maneno yalisemwa na nani juu ya nani...
 
l[/COLOR said:
RockSpider;10242614]Hata mimi nakubaliana na Rais kuwa ule ulikuwa ni uzushi tupu! Riziwan kama motto wa Rais anauwezo wa kuwa na vibarua chungu nzima kumfanyia kazi ya kusafirisha hayo madawa kama kweli alikuwa mhusika!!! ... Rizwan ana fursa kibao za kutengeneza fedha ndefu mbali na hayo madawa ya kulevya! Nina uhakika hata Obama yuko Tayari kumpa mtaji akitaka!!! Uzushi Mwingine tuwe tuna pima wenyewe kabla ya kumeza wakuu....

Yale yale! Obama ampe mtaji kwa makubaliano gani au kwa faida ipi? Hivi kwa nini Ridhwani mwenyewe asije hadharani na badala yake anatumia vibaraka kumjibia tuhuma? Ni haki yao watanzania kutafuta ufafanuzi toka kwa kiongozi wao yeyote mwenye tetesi za hujuma.
Hilo la "unga" ni moja, lakini zipo pia tuhuma kibao zinazomhusu kijana huyu, zote mtamjibia?

Sent from my iPhone using JamiiForums

LUHALA - Umezungumzia, kuhoji mambo ya msingi na yenye rutuba barabara kabisa katika mjadala huu. Kwani wengi wanaojadili kishabiki wamekuwa watetezi wa mambo wasiyoyajua.

Na tujiulize kwa makini kwa nini Mh. Rais asubiri mpaka wakati huu ndio aje alitolee ufafanuzi jambo hili akiwa Washington DC (Na sio nyumbani). Na pili, kwa nini asubiri miaka zaidi ya miwili (since 2012 tukio liliporipotiwa kwa mara ya kwanza) na kulitolea tamko wakati huu hususan kama jambo hilo lilikuwa ni "upuuzi' ulimkasirisha siku zote hizi? Why so? Why now? Na Je? Rais amejiandaa kujibu mlolongo wa kila tuhuma inayomhusisha mtoto wake na yeye mwenyewe?
 
Wewe mbona unaamini Allah yupo na hujawahi muona wala mtume wenu hajawahi muona. Na kama utachukulia ule msemo wa lisemwalo lipo basi na ya riz yanawezekana yalitokea ila hakuna binadamu wa sasa anayeweza kubali kosa kama alilozushiwa jk. Hata mwamedi angese"ma kwake ni sawa kufanya hivyo na si kwa wengine hoja ingeisha

Una ushahidi ulete. la huna wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Wewe unaamini sanamu la mzungu kuwa ndio mungu wako na unaliabudu, kama si upunguani huo ni nini?
 
Hahahahahaha..mdau umenichekesha sana unauliza safari ya ngapi hii..halafu atakaa huko siku tisa can you imagine ukae marekani siku 9 na wewe ni kiongozi wa nchi na gharama zote utakazotumia..duhh

Nchi masikini eti!!!
 
Back
Top Bottom