Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hij riz akiongea jambo hadi bavicha wanamshangilia!Hii isue ya JK na RIz1 kunasiku itakuwa wazi, n mda tu!
Hahahahahuyu rais amechafuka kwa kashfa kuliko rais yoyote!kumbe yuko marekani!safari ya ngapi hii wadau?
Leo hij riz akiongea jambo hadi bavicha wanamshangilia!
na sijawahi kusema jk ni rais mzuriHahahaha
Leo tumewamissHii isue ya JK na RIz1 kunasiku itakuwa wazi, n mda tu!
Leo jk shujaa?Jamaa ni muongo aliyepitiliza na wala hapepesi macho anapokuwa anadanganya umma wa Watanzania.
Wewe umjui Rizi #### bora ukutane na ibilisi kuliko hiyo mutuKwanza lazima ujue kuwa waliouliza swali hilo ni hao hao waliozusha uzushi huo
Tunammiss kwa sababu aliyepo ni wa hivyo zaidi kuliko yeye,yaani ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga kubwa
Kwa kuwa aliyepo ni hovyo zaidi