Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.

Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana.

JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

Jakaya-Kikwete.jpg


=======================================
Aisee .sikuwahi kuona taarifa ya Ikuku kipind cha Jk..huyu mwandishi wake..hakika alikuwa hajui kuandika taarifa ..na nina uhakika hakuwa mwandishi wa habari
 
Haya madawa yatamwacha mtu au tutegemee mitoto kinondoni kusinzia hovyo
 
Back
Top Bottom