Tuacheni ombaomba watatukimbia ,yaani hata mtu hajaanza kujilipa mnaaza kukoromea ,alafu waswaili tuna ule msemo wa Tamaa mbele....! Yaani hakuna subira kabisa ,hujui mtu ametumia mamilioni mangapi hata kuweza kujenga mbali ya 10% alizowapa wakubwa wetu ,yaani apitishe ka miaka mitani hivi ndo tuanze kumnyemelea kwa sasa naona ni mapema au vipi wadau ?Je ujenzi wa hoteli hii umewashirikisha watanzania? Na je huyu mwekezaji anafikiria nini kuhusu wananchi wa hapo Serengeti? Hapa namaanisha shule, hospitali au any "recreation centers"?
WANA JF Napenda kuuliza, Hii hotel ambayo JK ameifungua huko Mbugani SERENGETI napenda kujua ni ya NANI?? Maana kuna kipindi nielenda mbugani wakati nimepumzika sehemu moja dreva mmoja wa TOUR CAR, akawa ananieleza kuwa hiyo hotel ni ya RAIS WETU JK, Nikamuuliza unauhakika na hicho unachokisema??Akajibu ni KWELI. Na hiyo hotel iko juu sana gharama zake ni DOLA 900 per night unapata kila kitu kulala, kunywa na kula na mengine yote, MHESHIMIWA RAIS AMEFUNGUA AKISEMA NI YA MUWEKEZAJI?? Kuna ukweli ndani yake au tunapakwa matope, MAANA HAWA VIONGOZI WETU kila anayekuja lazima ajenge hotel either SOUTH AFRIKA, MBUGANI au JIJINI?? Hili mnalionaje?? MWenye idea azimwage hapa tujue?? MSEMO WA BARACK OBAMA Kama viongozi wanajilimbikizia mali ni ngumu / ndoto kwa AFRIKA KUENDELEA.
Hii ni tetesi?? TOA MAONI YAKO pia

Kwa hiyo source yako ni tour driver? kazi kweli kweli....
JK hausiki kabisa na umiliki wa hiyo hotel...WANA JF Napenda kuuliza, Hii hotel ambayo JK ameifungua huko Mbugani SERENGETI napenda kujua ni ya NANI?? Maana kuna kipindi nielenda mbugani wakati nimepumzika sehemu moja dreva mmoja wa TOUR CAR, akawa ananieleza kuwa hiyo hotel ni ya RAIS WETU JK, Nikamuuliza unauhakika na hicho unachokisema??Akajibu ni KWELI. Na hiyo hotel iko juu sana gharama zake ni DOLA 900 per night unapata kila kitu kulala, kunywa na kula na mengine yote, MHESHIMIWA RAIS AMEFUNGUA AKISEMA NI YA MUWEKEZAJI?? Kuna ukweli ndani yake au tunapakwa matope, MAANA HAWA VIONGOZI WETU kila anayekuja lazima ajenge hotel either SOUTH AFRIKA, MBUGANI au JIJINI?? Hili mnalionaje?? MWenye idea azimwage hapa tujue?? MSEMO WA BARACK OBAMA Kama viongozi wanajilimbikizia mali ni ngumu / ndoto kwa AFRIKA KUENDELEA.
Hii ni tetesi?? TOA MAONI YAKO pia
kwa hili la madereva nakubaliana nalo kwamba wakati mwingine madereva wanataarifa muhimu sana na nyeti sana, hii ni kwasababu wanakutana na watu wengi na mara nyingi ni rahisi sana kwa wao kusikiliza mazungumzo kati ya abiria au simu.Kuna tatizo na tour driver kuwa na information ndugu yangu? Au ndo dharau? Kwa nini tukuamini wewe zaidi yake?