WANA JF Napenda kuuliza, Hii hotel ambayo JK ameifungua huko Mbugani SERENGETI napenda kujua ni ya NANI?? Maana kuna kipindi nielenda mbugani wakati nimepumzika sehemu moja dreva mmoja wa TOUR CAR, akawa ananieleza kuwa hiyo hotel ni ya RAIS WETU JK, Nikamuuliza unauhakika na hicho unachokisema??Akajibu ni KWELI. Na hiyo hotel iko juu sana gharama zake ni DOLA 900 per night unapata kila kitu kulala, kunywa na kula na mengine yote, MHESHIMIWA RAIS AMEFUNGUA AKISEMA NI YA MUWEKEZAJI?? Kuna ukweli ndani yake au tunapakwa matope, MAANA HAWA VIONGOZI WETU kila anayekuja lazima ajenge hotel either SOUTH AFRIKA, MBUGANI au JIJINI?? Hili mnalionaje?? MWenye idea azimwage hapa tujue?? MSEMO WA BARACK OBAMA Kama viongozi wanajilimbikizia mali ni ngumu / ndoto kwa AFRIKA KUENDELEA.
Hii ni tetesi?? TOA MAONI YAKO pia