poa nakubaliana na wewe juu ya mmiliki wake ni JK ila kwa sasa inaendeshwa na SERRENA
Mkuu Lokissa na wadau wengine, Bilila Kempiski Lodge ilikuwa chini ya Hotel za Kempiski, Lakini imeuzwa kwa Four Seasons Safari Lodges, Ambaye ndiye Four Seasons Safari Lodges and Resorts. Pili mmiliki mama kwa hapa na mwenye share kubwa kuliko wote ni JK ...Usiniulize swali nimesema ni JK R.A.I.S wa Jamhuri hii ya muungano. Hiyo iko wazi kabisa na wala mtu asimtaje Lowassa wala Lokissa.....Kuna vijiasilimia vichache ambavyo ni kiini macho kama vile vya kule Simanjiro ambavyo wamepewa akina Lokissa ili wakae kimya......period!!!!
Mkuu Thanda umenena vema, Kina Ritz hapa kimya,
sijafungwa mdomo mkuu ndio maana nimeweka huu uzi ili kuufahamisha umma namna viongozi wetu
wanavotumia madaraja yao kujinufaisha,
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
aiseeeeeeeeee babaangu nimeusoma huu uzi nimetokwa na machozi nikiangalia maisha ya huku rombo nahizo hoteli zinazomulikiwa na wakuu wa nchi nazidi kulia yewiiiiiiii mungu 2saidie yewiiiii