Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
kazi tunayo kama mkuu wa kiti anamiliki au kufanya biashara akiwa mjengoni ni hatari ya danger:A S-baby:
napata mashaka na hiki chama chetu, Kinana nae kampuni yake tunaambiwa ndio inahusika katika kusafirisha
pembe za ndovu zilizokamatwa Hong Kong, dah Mangula nae alihusika na EPA,
JK ana kazi ya kutuambia hizo hela alipata wapi
na kwanini kwa uwezo huo asitumie hizo hela kuweka hata vitanda vya mama wajawazito muhimbili
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/355066-mangula-kinana-na-hatima-ya-taifa-letu.html
Mkuu Unashangaa bilila lodge mkuu?JK ana malori 700 ya kusafilisha mizigo ngombe kalibu 10000 Chalinze bado mijengo,amejiuzia tanzanite one jamaa ni noma zaidi ya mafisadi wenzie,anapenda kuonekana mwema wakati hamna kitu