Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski



Mkuu Unashangaa bilila lodge mkuu?JK ana malori 700 ya kusafilisha mizigo ngombe kalibu 10000 Chalinze bado mijengo,amejiuzia tanzanite one jamaa ni noma zaidi ya mafisadi wenzie,anapenda kuonekana mwema wakati hamna kitu
 

Mkuu nimesoma maelezo yako huenda yanaukweli ila labda ningeomba evidence ningeshukuru sana la sivyo nitakuona wewe ni mtu wa propaganda.
 
Life is not a matter of holding a good card , but of playing a poor hand well!
 
Wakuu hivi hiyo Lodge sehemu gani hapa Tanzania, mkoa,Wilaya, Kata, na Mtaa? msishangae sana hilo swali!
 
aiseeeeeeeeee babaangu nimeusoma huu uzi nimetokwa na machozi nikiangalia maisha ya huku rombo nahizo hoteli zinazomulikiwa na wakuu wa nchi nazidi kulia yewiiiiiiii mungu 2saidie yewiiiii
Na bado, ulidhani ni wachaga pekee ndo walibarikiwa utajiri? Hata sisi Wa.kwere tupo
 
naota au ni kweli?
Mimi hapo saa unazidi kupigilia msumari kwenye kidonda
Mungu tuokoe na hawa simba wakali wanaovaa ngozi za mwanakondoo
.
Mkuu Unashangaa bilila lodge mkuu?JK ana malori 700 ya kusafilisha mizigo ngombe kalibu 10000 Chalinze bado mijengo,amejiuzia tanzanite one jamaa ni noma zaidi ya mafisadi wenzie,anapenda kuonekana mwema wakati hamna kitu
 
Sikatai kuwa ni Four Seasons ya Canada...kuwa Four Seasons is not a problem, unakumbuka lile jengo la ghorofa 14 kule Arusha karibu na golden Rose hotel ni la nani? si aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha Ndg Mgonja? lakini umiliki wa jina ni wa mtu mwingine. Unafahamu vile mtandao wa kifisadi unavyofanya kazi? Four Season ni jina tu, ila JK ndiye kinara.

 
naota au ni kweli?
Mimi hapo saa unazidi kupigilia msumari kwenye kidonda
Mungu tuokoe na hawa simba wakali wanaovaa ngozi za mwanakondoo
.
Mkuu Lokissa, amini ni JK. Mbona asitajwe Lokissa au Magufuli.....Humu JF watu tunatumia avatar ambazo si zetu lakini kuna watu humu kama Lokissa ukimchunguza sana au ukijua ukweli wake utakuta anafanya kazi Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
 
Nani msafi CCM? nani atakaethubutu kumnyoshea kidole mwingine
kumbe ndio maana wanahonga au kufanya kila njia warudi madarakini ili waendelee kuiba
huku mwanasheria mkuu akizid kupindisha kila hoja za kuwashtaki mafisadi kwa manufaa yao
kiama chao ki karibu kuja,ole wao mafisadi na wezi wa mali za umma
tumekuwa maskini tunakosa huduma za msingi kwa sababu yao afu tunaambiwa kila siku
CCM yajenga nchi,chama chajenga nchi chajenga nchi gani kama sio matumbo yao na familia zao?
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
 

Ni kazi rahisi kutafuta Bikira uswahilini kuliko kutafuta msafi CCM
 
kwani iko maeneo gani hapa tz maana sisi wengine chai inatupumbaza
 
Jamani embu tusiwe wanafiki yani hakuna mtu atakaye pewa nchi afu akumbuke wananchi tuuu huyo hayupo tusidanganyane kabisa.

imagne ofisi tu unayofanyia kazi ushaiba vingapi? Sembuse upewe nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…