Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski


duuh kumbe ndio ya wakubwa, walitangaza kazi hawa jamaa, kweli kuna uwezekano wa kupata kazi hapo ? Au ndio bosheni
 
si ajabu hata TRA haijui wafanyakazi wa hii hotel kama wanalipa kodi
tumeshazoea kuwaacha wageni waje wafanye kazi lakini hawalipi kodi mishahara yao haijulikani serikalini
afu tunalia nchi maskini.
wageni wote wanegkuwa wanalipa kodi zingetosha kuwaongezea walimu mishahara na hata kununua vitanda vya kina mama wajawazito mahospitalini,
Manager wa hii hotel sii ajabu hata sio Mtanzania
 
duuh kumbe ndio ya wakubwa, walitangaza kazi hawa jamaa, kweli kuna uwezekano wa kupata kazi hapo ? Au ndio bosheni

Kama kweli hivi vitu viko hapa na vinaonekana online alafu tunasema Tanzania ni nchi maskini, inashangaza.

Ila nafikiri watanzania wengi hatujui kama tuna vitu kama hivi hapa nchini ndiyo maana tunaingia gharama za kufuata hotel kama hizi nje ya nchi.
Ila nina wasiwasi huenda nchi hii ikawa kama DRC zamani ZAIRE, raslimali za nchi zikawa za wachache
 

atakejua mmiliki wake ataje hapa, ni kitendawili
afu tunasema chame chetu cha jenga nchii ndio kujenga huku?

nasikia muekezaji ni mtanzania mwenzetu,hivyo anasaidia kujenga uchumi wa nchi yake kwa kuajiri watanzania,faida inabaki hapa hapa tanzania,wanalipa kodi nk.sioni tatizo kwa upande wangu kama tunaweza kuwa na watanzania wanaoweza kufanya mambo kama haya kwa fedha halali.
 
Ni wangapi unaowajua wametumia fedha halali kujenga makasri na mahekalu
au kufungua biashara kama hizi bila wizi?
 
Wakuu tetesi nilizozipata kutoka huko MBugani ni kuwa Bilila Hotel ya SErengeti tayari imeuzwa kwa Four Seasons Hotel kuanzia tarehe 1/12/2012.Ni matumaini kupitia hapa jamvini tutapata habari zaidi ikiwa ni pamoja na kujua iwapo kodi zote zimelipwa na hakuna ujanja wa kutaka misamaha mipya ya kodi> hawa wawekezaji wapya inasemekana wanatoka Canada.
 
Wadau mtujuze hii sio ndio ilikuwa inasemekana na ya mkuu wa kaya?
 
Wadau mtujuze hii sio ndio ilikuwa inasemekana na ya mkuu wa kaya?
Ha ha ha ha Imeuzwa kwa Wacanada!!! Ni wale wale wa Madini au wengine? Au ndiyo kupeleka kwa owners halisi baada y akushikiliwa!!!? Kila kitu kinawezekana!!
 
unafikiri jk alipandishwa yale matolori bure?

Kwahiyo kumbe pamoja na kufanya state visit alienda kufanya biashara ya kuuza kitega uchumi chake duh kweli bongo inchi ishauzwa mkuu wa nchi anaenda kufanya biashara ?
 
Hakuna cha kuuzwa wala nini ila imekodishwa kwa wazungu na hiyo ni kutokana na hali ya upepo ulivyo mda huu
 
BILILA LODGE,ipo ndani ya hifadhi ya Serengeti,inasemekana ujenzi wake ulikataliwa na wanamazingira,lakini kukawa na nguvu fulani kutoka ndani ya serikali kwamba iruhusiwe kujengwa angalau vyumba 20 (proposal yake ilikuwa vyumba 100).Lakini mpaka sasa ina vyumba zaidi ya 75 na inaweza kuongezwa pia,lakini zaidi ni kuwa imejengwa kwenye mkondo wa dhahabu.Sasa je kwanini,ijengwe wakati wanamazingira waliigomea,pamoja na kulazimishwa na kupewa kibali kujengwa room 20 ni nguvu gani waliyonayo mpaka wakaongeza hadi kuzidi room 70,na kwanini asijenge sehemu nyingine tofauti na ukanda wa dhahabu? Na ndo maana nikauliza mmiliki wake ni nani hadi awe na nguvu hivi.Kwa wanaojua naomba kusaidiwa au kusahihishwa pia.
 
hapana ni ya kikwete hii ndugu,juzi nimeona ndege ikibeba mtoto wa tembo maskin cjui anapelekwa wapi..ni ktk uwanja wa ndege wa hotel ya grumet...wanyama wanazidi uzwa kwenda mbele.
 
Dah umefanya kosa la jinai kunifananisha mimi na Lukosi
ni watu wawili tofauti kutoka mikoa tofauti na tuna itikadi tofauti kabisa..
well nlisikia mmiliki wake ni mr mkuu wetu. sina details zaidi
wenye kujua watakujuza tu








Lukosi funguka utujuze ila nahisi itakuwa ni ya wananchi wa sereng

eti
 
Subili kwanza niende nikachungulie me ndio kazi yangu nitakwambia nani mwenye nayo kama mawalla au sambeke...
 
''Jakaya Mrisho Kikwete ndio mmiliki wa hiyo hotel'' Haya ni majibu utayapata hata ukimuuliza mtoto mdogo pale Mugumu Serengeti kuhusu umiliki wa hiyo Bilila, wanaenda mbali zaidi wanasema mmiliki wa Grumeti amesaidia sana kifedha kufanikisha ujenzi wa hiyo kitu kwa kuwa wana uhusiano wa karibu na Baba Riz na pia ni Back up ya hotel yake kipindi cha peak...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…