Rais Kikwete alimtuma Membe kwa Mwalimu Nyerere, Sehemu ya Pili (2)

MKUU GARETHBALE2 NAONA UNAZIDI KUTEMA MADINI YA UKWELI.

AMA KWELI JF NI TANK AMBALO KWALO TWAWEZA OGELEA NA KUCHOTA MAARIFA.
AKSANTE MKUU!πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘πŸ‘
 
Membe hata akiunganishwa vipi na nyerere HATOSHI,HAFAI,KILAZA,HANA UWEZO. hata angekuwa amezaliwa na mke wa nyerere.HAFAI MCHAGUENI AWE RAIS WA FAMILIA YENU
 
Safi sana:

Uraia pacha ni haki ya kila binadamu, utaridhikaje na kaeneo kadogo ka mipaka iliyochorwa na mkoloni halafu ugive up lidunia lote hili linalokuzunguuka?

Membe ana maono, Twende na Membe 2020
 
Asante sana Mkuu.
 
Membe hata akiunganishwa vipi na nyerere HATOSHI,HAFAI,KILAZA,HANA UWEZO. hata angekuwa amezaliwa na mke wa nyerere.HAFAI MCHAGUENI AWE RAIS WA FAMILIA YENU
NAONA BINTI MSUMARI UMEKUINGIA VEMA UNASIKILIZIA MAUMIVU!

MAGU HAJAWAHI HATA KUPIGA PICHA NA NYERERE.

WILL BE THE ONE TERM PRESDENT ! HUO NDO UKWELI WENYEWE.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Nadhani hawa washabiki wa CCM uchwara kwa sasa kwa jinsi walivyojifunga kufuli kwenye ubongo wao hata ukisema "Membe kasema Ndoa za jinsia mbili ni muhimu kwa Taifa, watasema lahaula!...huyu membe anataka kuinajisi nchi.
 
ujue demokrasia muda mwingine inazingua,bora kikwete angefosi tu kuendelea kutawala vijumba vyetu vingekuwa vimeisha,hii ya kuhamia nyumba umepaua nusu na madirishani turubai chanzo ni awamu hii,gadeeeeeeem πŸ₯΄ πŸ₯΄ πŸ₯΄ 🀣 🀣 🀣
 
Hizi ndo akili za kipumbavu. Hajawahi piga picha na nyerere so what? HE IS THE PRESIDENT NOW. MPAKA DK HII MEMBE IS THE LOSER. MAGUFULI THE WINNER 😁😁😁😁😁 and you are the loser. Ndo unayeumia. Magufuli is here to stay.... Vumilia tu sana sana meza panadol.ila magufuli ndo the president and will keep on being the president.


NAONA BINTI MSUMARI UMEKUINGIA VEMA UNASIKILIZIA MAUMIVU!

MAGU HAJAWAHI HATA KUPIGA PICHA NA NYERERE.

WILL BE THE ONE TERM PRESDENT ! HUO NDO UKWELI WENYEWE.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Membe kupiga picha na nyerere ndo unaona anafaa kuwa rais? Sikujua kuna watu walibaki duniani kipindi kile cha nuhu na wewe ukawemo.

Sasa mama maria nyerere ambaye alikuwa analala na nyerere atasemaje?atafaa kuwa nani?😁😁😁😁 Nlikuwa naWaza hivi kuna mtu ana akili timamu anaweza taka membe awe rais?ndo nikapata jibu hamna....lazima atakuwa taahira.

NAONA BINTI MSUMARI UMEKUINGIA VEMA UNASIKILIZIA MAUMIVU!

MAGU HAJAWAHI HATA KUPIGA PICHA NA NYERERE.

WILL BE THE ONE TERM PRESDENT ! HUO NDO UKWELI WENYEWE.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Asante sana kwa historia hii muhim. Hakika uraia pacha ni jambo jema hasa kiuchumi jambo ambalo linawezesha mtu kuwekeza kwenye nchi husika kama raia bila kulazimishwa kupoteza uraia wa asili yake.
 
Another Membe's project. Btw simulizi zuri
 
wewe ni mpu.u.u.zi unashindwa kuelewa nachomaanisha!! use your intellect you'll understand what I mean!!

that is an example to show that the man was very far from Nyerere.πŸ™„πŸ™„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Na mke wa nyerere atasemaje? 😁😁😁😁😁 Na watoto wa nyerere? Wewe lipumbavu kweli.kuna waliotoka mbali na nyerere kama akina madaraka nyerere? Hivi nyie mna akili kweli? Alitoka mbali na nyerere dr salim ahmed salim na hakuwa rais itakuwa huyo membe kilaza😁😁😁😁 hiyo single ya kupiga picha na nyerere haitauza. Hata angekuwa amewahi lala na nyerere acha kupiga naye picha. Kama unampenda sana membe nenda kanywe naye kahawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

wewe ni mpu.u.u.zi unashindwa kuelewa nachomaanisha!! use your intellect you'll understand what I mean!!

that is an example to show that the man was very far from Nyerere.πŸ™„πŸ™„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
narrow minded member katika ubora wako! shame on you !! Compeletely you have proved failure to respond to my urgement.

You are sturuggling ,

I can see poor reasoning capacity.

Failure to use your intellect.

lack of objectivity and particularity.

You are very subjective and the most arrogant member Jf ever seen! ama kweli Ujinga ni Mzigo wa Vima.(MBOJI)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…
 
Umeandika gazeti wakati hoja ya msingi uraia pacha ambao ungeweza kujenga hoja kwa sentensi mbili tu!!
Umesomea wapi wewe ?
 
PLEASE MODES UNGANISHA SEHEMU YA KWANZA YA JANA ILI WANAJAMVI WAPATE KUJUA SEHEMU YA KWANZA!!
Mkuu unatiririka utadhani wewe ndiye Membe mwenyewe ! ninaanza kugundua kwamba kumbe Membe aweza kuwa miongoni mwa wanaccm watatu au watano wenye roho ya kibinadamu .
 
Mkuu unatiririka utadhani wewe ndiye Membe mwenyewe ! ninaanza kugundua kwamba kumbe Membe aweza kuwa miongoni mwa wanaccm watatu au watano wenye roho ya kibinadamu .
AHAA MADAM! MIMI SIYE!! HABARI ZA UBUNGO?? KWEMA??.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Unaleta uzi kwa ID ile unakuja kuji support kwa ID HII....na bado. Utatumia ID zote kulibeba hilo furushi lako la choo ila hutaliuza...haliuziki.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ litakunukia tu.kama ambavyo wewe umeligusa linanuka.unanuka nalo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…