Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Bahati nzuri watu wa Lumumba tunachangia kwa hoja. Tumejibu hoja zenu zote. Kama mna jipya leteniNgoja maroboti ya Lumumba street yaje!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati nzuri watu wa Lumumba tunachangia kwa hoja. Tumejibu hoja zenu zote. Kama mna jipya leteniNgoja maroboti ya Lumumba street yaje!!!
Tumekuja ndugu. Unasemaje?
njaa za ufipa ndio zimemfanya mleta mada ajidhalilishe hapa jukwaani
dr slaa ndio kigeugeu namba moja afrika
hasira ya mleta ni kutokana na dalili za serikali nyiiiingiiiiiiiiiii kuyeyuka. msimamo ni 2 gov only. hutaki unaacha. acheni njaa zenu madaraka hayaji kwa serikali nyingi
mporaji wa wake za watu slaa ni janga la taifa
Hakika Rais Kikwete ni mtu wa kukumbukwa Tanzania hii. Amekuwa mwepesi wa kusifia mambo yanapienda vizuri na amekuwa mwepesi wa kukosoa yanapoharibika. Ndivyo alivyofanya kwenye tume ya Warioba
Mkuu, huyu mtoa mada ni mpuuzi kweli. Anajaribu kukejeli viongozi wetu kwa kuwapa majina yasiyo yao. Lini Kikwete akawa Kiwete? Lini Kinana akawa Kinena? Hakika mods wanapaswa kuwa makini sana juu ya hawa watu wanaojifanya kuwa wamekosea kwa bahati mbaya kumbe wamedhamiria kukosea ili katakwa yao yatimie
Suala la kuchela msibani inategemea ni msiba wa nani huo. Makabila mengine kama wenzangu wajaluo wanageuza misiba kuwa sherehe. Nadhani hata wajita ni hali hiyo. Hapo Muziki hupigwa na pombe hunywewa
Bahati nzuri watu wa Lumumba tunachangia kwa hoja. Tumejibu hoja zenu zote. Kama mna jipya leteni
mporaji wa wake za watu slaa ni janga la taifa
Kwa bahati nzuri huku Lumumba hatushabikii watu. Tunashabikia viongozi wanaosimamia vema sera za chama chetu. Ni tofauti na misukule ya KinondoniHivi J.M akimaliza muda wake na wewe kazi itakuwa ndiyo imekwisha au utaendelea kupiga debe kwa huyu Rais mwingine ajae??
Nilijua unakuja na hoja kumbe yale yaleeeee!:A S 13::juggle::rain:
dr slaa ndio kigeugeu namba moja afrika
na wala makombo kama utaifakwanza wao kazi yao ni kusifia tu! wao hawaoni shida kusifia hata mizoga!hao ndiyo watanzania bana, walipewa nafasi ya kuchagua rais wa kuwaongoza 2005 na 2010 wakaona huyo mzu.ruraji wa m..soga ndiye anawafaa acha wakome! uongozi wa jk ni sawa na kutungika koti koti kwenye kiti cha manager halafu ukajidanganya kuwa una mtendaji humo ofisi! ha ha ha, it is just a disaster!
JK amekuwa akifanya maajabu mengi. Ajabu la kwanza tunalojua sisi ni lile la kuongelea jambo la huzuni huku akiwa anacheka.
Kigeugeu na mipasho ni maajabu mengine
Nilijua unakuja na hoja kumbe yale yaleeeee!
Bahati nzuri watu wa Lumumba tunachangia kwa hoja. Tumejibu hoja zenu zote. Kama mna jipya leteni
mporaji wa wake za watu slaa ni janga la taifa
Mnahangaika sana. Ni juzi tu viongozi wenu pale Bungeni Dodoma wamempigia makofi. Chezea JK wewe!tehe tehe tehe! watanzania bana, mlitundika koti pale ikulu halafu manjisifia eti mna kiongozi! muulize Shaka Ssali wa VOICE OF AMERICA atakuambia! a dr who doesn't know why his country is poor regardless of its riches in natural resources!
Tumekuja ndugu. Unasemaje?
Kwa bahati nzuri huku Lumumba hatushabikii watu. Tunashabikia viongozi wanaosimamia vema sera za chama chetu. Ni tofauti na misukule ya Kinondoni
Jipambanue vizuri mkuu naona bado unapiga chenga unataka kusema nini kuwa wazi kabisa tukujue unasimamia nini.Nadhani atakuwa anataka kusema uzalendo kwanza itikadi za chama baadae kama vile Warrioba na tume yake walivyofanya. Ila mimi nahisi tu atakuja kujisemea mwenyewe mwaya
Mkuu, hongera sana kwa ufafanuzi mzuri uliosheheni kila aina ya hoja. Kama kuna mwana CHADEMA atakuwa na uwezo japo wa kupangua nusu ya hoja zako mie narudisha kadi ya CCM mbele ya Dr SlaaMtoa mada una upungufu mkubwa sana wa ufahamu. Ngoja nikupe somo kidogo. Mada yako imejikita kwenye hoja ya katiba. Well umeelezea jinsi Rais alivyotangaza kuwa anadhamiria kuunda tume itakayokusanya maoni ya wananchi juu ya katiba mpya. Ukaeleza kuwa Jaji Warioba ndiye aliyepewa kazi hiyo. Well umeeleza kuwa Warioba amefanya kazi yake vizuri kiasi cha kupongezwa na Rais Kikwete. Well ukasema kuwa wakati anaenda kulizindua Bunge Maalum ndipo hali ya hewa ilipochafuka hasa baada ya Rais Kikwete kukosoa Rasimu hiyo. Well ukasema kuwa Rais alieleza akiwa London Uingereza kuwa hana matatizo na mfumo wa serikali tatu ikiwa wananchi wataamua. Hizo ndizo hoja zako juu ya Rais Kikwete.
kwanza, unapaswa kuelewa kuwa msukumo wa kuwa na katiba mpya haukutokana na utashi wa serikali. Msukumo huo ulitokana na tamaa za madaraka za viongozi wa vyama vya upinzani. Ukumbuke kuwa CHADEMA hawakubaliki Zanzibar. Kwao Zanzibar haina umuhimu wala faida kwao. CHADEMA hawana hata mbunge mmoja kule. CUF haikubaliki zaidi Tanzania Bara. Kwa sasa ina wabunge watatu tu ambapo wawili ni wa kuchaguliwa tena wote wakitoka mkoa mmoja tu wa Lindi na mmoja ni wa viti maalum. CUF nguvu yao kubwa ipo visiwani Zanzibar tena kwenye kisiwa cha Pemba tu. Unguja hawana kabisa nguvu. Hivyo shinikizo la vyama hivi juu ya katiba mpya hususan huu muundo wa serikali tatu linatokana na tamaa ya madaraka. CHADEMA wanaamini kuwa ikiwa kutakuwa na serikali ya Tanganyika, wao wanaweza kushinda kwa kile wanachoamini kuwa wanakubalika zaidi Tanzania Bara japo uhalisia uliopo ni kwamba hiki ni chama cha Kaskazini. CUF nao wanaamini kuwa ikiwa katiba mpya itapatikana yenye muundo mwingine zaidi ya uliopo, ni kwamba wao wanaweza kupata fursa ya kutawala Zanzibar na shauku yao kubwa ni kuwa na nchi huru ya Pemba. Katika mazingira hayo, ni wazi kuwa vyama hivi vilizunguka mlango wa nyima ili kuirubuni tume ya Warioba ikubaliane na matakwa yao. Hapo Rais Kikwete alikuwa na haki ya kuonesha wasiwasi wake juu ya hiyo tume.
kuhusu kuipongeza tume na baadaye kuikosoa, ni jambo la kawaida kumpongeza mtu unapomtuma kazi na akaimaliza. Sasa unapoiangalia kazi uliyomtuma halafu ukagundua kuwa ina mapungufu mengi na pengine ameenda kinyume na maelekezo yako, je utaendelea kumsifia? Ni wazi kwamba utaikosoa kazi hiyo na kuonesha mapungufu yaliyopo. Ndivyo alivyofanya JK. Aliipokea Rasimu ile na akaipongeza tume kwa kazi waliyofanya. Ila baada ya kuipitia, akagundua mapungufu kadhaa ambayo ni vema kuyaeleza tena kwenye bunge ambalo ndilo lenye maamuzi ya mwisho juu ya Rasimu hiyo. Ningemshangaa sana Rais Kikwete kama angeyaona mapungufu hayo halafu akayanyamazia.
Kuhusu kauli yake kuwa yupo tayari kuunga mkono muundo wa serikali tatu ikiwa wananchi wataamua, well. Namponyeza pia kwa uamuzi huo. Ikiwa wananchi wote au kwa kiwango kikubwa tumekubaliana kuunga mkono muundo huo, ni wazi kuwa hata yeye Rais ataungana nasi kwa vile anajua kuwa ni maamuzi ya wengi. Ila haiingii akilini kati ya watu laki tatu walioohojiwa na Warioba, watu 47,000 waonekane ni wengi kuliko wale 300,000. Hapa ni wazi kuwa Warioba na timu yake wameonesha udhaifu wa hali ya juu sana. Katika hali hiyo, ni wazi kuwa Warioba amejitakia kudharauliwa si na Rais tu bali na kila anayeitakia mema nchi hii.
Kauli ya kinana nayo ni ya kuungwa mkono. Mathalan, Kinana amehoji wapi zimeenda takwimu za mabaraza ya kata na wilaya. Mbona taarifa zake hazikutolewa? Ni wehu tu na watu wenye upeo mdogo wa kufikiri kama mtoa mada ndio watakaomshambulia Kinana
Mkuu, hawana hoja hawa. Wamebaki kutapatapa tuJipambanue vizuri mkuu naona bado unapiga chenga unataka kusema nini kuwa wazi kabisa tukujue unasimamia nini.
Ndumila kuwili ni kama hawa kila siku kuvuruga bunge ili akae sana dodoma muone hapa.