Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi ndio mnaotengeneza chuki hizi za udini! Mmezoea yeyote atakaeteuliwa awe john, mike, nk. Mkiona jina la aly au juma mnaanza hoja za za dini, Alipoteuliwa Abdallah Mtonga maneno mengii! Kwenu nyinyi udini ni uislamu tu?
Acheni u. S.E.nge, hayo sio maneno ya kusema hapa, kasemeeni kanisani.
Thank you very much mweenSorry my friend,
DG wa TANAPA ni mtu muhimu sana katika uchumi wa nchi. Also, they have money to pay any "dude" of internmational calibre if they wanted to get value for money. Sikuona tangazo magazetini (At least in The East African,.....). Naona utaniambia kulikuwa na the so called "Search team" ambayo inatekeleza wanayoyataka walio-appoint hiyo team. This system has been used in the past to put into power incompetent persons on the pretext that it was competitively won.
Kwa upande wangu, kigezo cha kuwa na uhusiano mzuri na wenzake kingemtolea mbali kwani yeye ni part and parcel ya madudu yote yanayofanyika TANAPA. Kama tutapenda tuendelee, inabidi tukubali kuwa "in-breeding" inaharibu fikira za maendeleo. Tujaribu kupata NEW ideas from those "without" who know something different. What I can tell you is that this guy has nothing new to offer to TANAPA. He will maintain the "status quo" while the rest of the world is moving forward. In the end, it will not be a status quo anymore but a decline in status (change in "y"/change in "x" progressively becomes negative).
TOO LOW FROM A PHD HOLDER... i am a christian and i dont support Kijazi's appointment!!Tatizo wakristo huko tanganyika wanaona wao wana haki ya kila kitu na kujiweka kama first citizen na wengine ni daraja la pili.
Poleni sana WaDanganyika kwa kugubikwa na udini hususan kwa karne kama hii ya sayansi na technology
hapo kwenye red ndio panapoua mashirika yetuRead my post kuwa interview walifanyiwa hayo ya how they do now that is discussable but to say was just appointed was really misleading and that was what your complain was about. Hii search process haifanyiki TZ tu lakini tukumbuke however the process can be bado bila social capital yote hayo hayawezekani itabakia tu kuwa process to fufill the time table lakini si ku add value into it.
Kama umepitia kidogo organisation theory basi managerial post evaluation ni zaidi ya kuwa na CV kubwa na nzuri. Kama ulivyosema DG is an important person kwani hiyo nafasi inatakiwa mtu anayejua diplomacy na pia awe na negotiation skills nzuri ndiyo maana PR is more important kuliko hata professionalism maana kwa technical issues wako professionals kwenye shirika. So to be frank with you kati ya hawa wawili kama mimi ningekuwa kwenye interview still ningempa Kijazi kwani he is more broader kwenye ujuzi wa mambo kuliko prof kwani prof is specialesd wakati Kijazi is trained as an interdisciplinary personel, he can speak all languages kuanzia politics; science; social and economics. Ametengenezwa kuangalia problems in 3D na amefanyia kazi hiyo taaluma yake he is more a manager than a spcealist so ni rahisi kuleta intergration kuliko specialist ambaye all the time decision zake zitakuwa biased kwenye profession yake.
Well unasema uhusiano mzuri ungemtoa sijui unachoongelea kama kiko acceptable hasa kwenye political post ya shirika kama DG. Do you know conflicts ni chanzo kikubwa cha ku raise administration costs? Je unajua negotiation skill ni zaidi ya kuwa mechanical na through this you can easly win even the enemies? Hapo itabidi tukubalianae kutofautiana kwani for me uhusiano mzuri unatengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi kwa kujiamini na hivyo kuwawezesha wao ku-exercise talents zao at more than 90% efficiency.
katika organization theory hicho ndicho kigezo cha kwanza katika kumteua kiongozi. Acording to organization theory "big five" personality traits of a gud leader are; surgency, conscientiousness, agreeableness, adjustment and intelligence. Sasa hapo sijui kama mahusiano mazuri ni kigezo cha kumwondoa mtu kwenye position ya u DG. Na kusema ukweli katika yote academics=intellingence measured in tha form of CV ni moja kati ya vitano let say prof ali score 98% na kwingine akapata chini hapo utasema hao interviewers walikuwa subjective? Yes subjectivity ipo hata ukifanayaje maana hii si mathematics lakini zina jinsi ya ku control zisiwe extreme. Mimi si part ya hiyo team lakini wote hao nimebahatika kufanya nao kazi na fortunately wote are my good friends.
Jamani huu mfumo si wa kidikteta? Wakuu wa mashirika makubwa ambayo nchi wateuliwe tu? Tena rais? Watawajibika kweli?Mkuu TANAPA na vitalu tangu lini vikahusiana? So far kwa conservation TANAPA wanajitahidi sana. Popote walipo kazi zao zinatia moyoila tu nadhani tourism department inapaswa kuboreshwa maana huko bado hawajai advertize TANAPA kiasi cha kutosha.
Thank you MTN and Ame,
To me this is a health debate that need to be encouraged in this forum.
I wish to let you know that I am not a management person. I just think logically how I would handle the situation, had I been the one in charge of the situation (kama Mkulu).
So far, MTN and me are arguing along similar line, and, to many who are outside the ring, probably this would be the course of action. If TANAPA was a private organisation with share holders, the management board together with the top executives would have faced the axe a long time ago, on the premise that their investment was not safe in their hands! Funny, Ame and others within do not see this fact. TULITAKIWA TUJIVUE GAMBA this time around. It is a naked fact that TANAPA is failing its shareholders - The Wananchi. To hand back the reigns to the sanme executive who was part and parcel of where it is now is to commit suicide in broad daylight.
I did not say that the Prof should have been given the post simply because he is a prof. We have VCs and DVCs in our public Universities who are underperforming as well. For your information, I am of the opinion that Profs who run for political jobs are just incompetent misfit academicians who found the going getting tough in the arena. They are Bootlickers just like anyone in the system! Somebody had coined a term "Academic prostitution" as a vice that should be fought just like corruption.
Who are the true academicians then? I will give you a clue. Early this month, a Prof in Japan who was appointed to advice the Government on nuclear matters following the Fukushima Daichi disastor RESIGNED from the post, citing non adherence to his advice as a reason. Our Profs should be watchdogs for inappropriate government policies and actions that put the interest of citizens at risk. They should be the whistle blowers based on evidence generated from their research and help the government performes its actions scientifically.
Coming back to our topic, I agree with your analysis of management theories and what have you. However, summation of all what you said would in simple term means an Organisation that delivers! TANAPA was, is and will not deliver under the current management and the blame is to the executives and the board. That is why a new approach is needed. Kijazi and the team is the same incompetent organ we should eject from the system. They are a cancer that will remain there, eating us from within for as long as they have the power.
Sorry for this assertion. I stand to be corrected and educated
Management ipi ndugu business ama? The concept is very broad my dear ukifundishwa moja jua kuna na upande mwingine. Lakini hata kwenye bussines management all top positions lazima zihusishwe na politics maana hata organisations zinapolitics zake na mwl aliyekufundisha kuwa u crame tu ni strategic position bila kueleza why strategic atakuwa aliku mislead sana. Chief execatives wote lazima wajue politics ili organization zao ziweze kuperform maana decision zote na policies zote zinapitishwa na politicians ambazo ndizo zina impact either positively ama negatively hizo organisations.hapo kwenye red ndio panapoua mashirika yetu
ile siyo political, ni strategic position
sijawahi kusikia kwenye management tunafundishwa kwamba strategic position, direction au plan ni political position, diretion au plan
ndinalyooo
I wonder wether you really are familiar with TANAPA na kwakua umekuwa objective let me tell you kinachotokea huko. To my opinion hakuna shirika la umma Tanzania linalofanya vizuri excution yake kama TANAPA and please this excellence is relative to Tanzanian's mashirika. Ukumbuke TANAPA jinsi wanavyo fanya hawako katika consrevation kama Ngorongoro conservation ilivyo bali wanafanya kitu kinaitwa preservation = No harvesting of resources at all.
Hivyo revenue yote ya TANAPA inatokana na tourism na so far kati ya hifadhi zote KINAPA na Serengeti ndizo ambazo zinaingiza fedha ambayo ndiyo ina run hifadhi zote za taifa. Kwa total preservation hakuna tena ambayo inaifikia TANAPA hapa Tanzania na niwaambie ukweli kwa jinsi wanavyofanya in other places in the world TANAPA ilitakiwa iwe subsidised na serikali which is not doing that bali wao wana contribute kwenye hazina ya taifa.
Sitaki kwenda in details lakini kuisema vibaya TANAPA nikukosa shukrani na watanzania lazima tujifunze kuwa wakweli. Tuepuke kuongozwa na hisia zaidi na tuwe objective if we want to develop our country. Ukitaka kupata comparison nzuri ya TANAPA basi angalia division za serikali kama wildelife; Tourism na Forest uone jinsi wanavyo lag behind. Na kiukweli hata kwa staff development TANAPA wafanyakazi wao wako far better than all these other divisions.
Tusiwachanganye TANAPA na division za serikali kama wildlefe department ambao kila mara wana makasheshe na vitalu pamoja na wanyama kuuzwa ama kuuawa this are two different organs ndani ya wizara moja ambapo moja inafanya kazi zake vizuri. TANAPA ni conservation agency Tanzania ambayo kila mtanzania anapaswa kujivunia maana hata mataifa ya nje wanashangaa hawa wamewezaje kufanya total preservation bila kuwa subsidised na serikali; ukifanya financial analysis utakuta TANAPA inaendeshwa kwa hasara sana ila siyo objective yao kuzalisha bali kutunza ecosystem ili wengine tuweze kupata ecological services jambo ambalo wengine wenye mandate kama yao wameshindwa kufanya.
Kama Alan ni wa siku nyingi basi ni mboga kama kawaida ya Tanapa, kuna siku nimetembelea banda la Tangazo la Utalii la Tz katika FITUR ya Madrid, nimeona aibu sana, nilibaki nao dakika kadhaa kuwasaidia japo mimi nilikodiwa nitangaze kampuni ya Spain, dakika chache nao nimeona kuwa wamejileta mabosi tu wa TTB na Tanapa kula, nimeona matumbo makubwa tu.
Hata wageni hawakuwepo kwenye banda letu, badala ya kuletwa vijana wanaojua kuongea lugha na kutabasamu, utafikiri ni maonyesha ya madikteta au wala rushwa wa Afrika.
Kwa mwendo huu Tanapa ya Kenya Kenya Wildlife Service inayoongozwa na Mzungu mtoto wa Dr Leaky alieikimbia Tanzania baada ya kugundua miguu ya kali Oldovai, itaendelea kuwa mbele daima.
Angalia walivyotuburuza Doha kuhusu meno ya Tembo? Sasa wanatukataza kuendeleza Serengeti ili Masai Mara ambayo ni kona ndogo ya nje ya mbuga iendelee kufanya biashara mara 10 Serengeti yenyewe. sijui ni kosa la Kikwete au nchi bado?
Hapo kwenye Blue mkuu, hakuna kitu kama hicho chini ya Serikali ya CCM, lasivyo utang'olewa/shughulikiwa.
Kama Alan ni wa siku nyingi basi ni mboga kama kawaida ya Tanapa, kuna siku nimetembelea banda la Tangazo la Utalii la Tz katika FITUR ya Madrid, nimeona aibu sana, nilibaki nao dakika kadhaa kuwasaidia japo mimi nilikodiwa nitangaze kampuni ya Spain, dakika chache nao nimeona kuwa wamejileta mabosi tu wa TTB na Tanapa kula, nimeona matumbo makubwa tu.
Hata wageni hawakuwepo kwenye banda letu, badala ya kuletwa vijana wanaojua kuongea lugha na kutabasamu, utafikiri ni maonyesha ya madikteta au wala rushwa wa Afrika.
Kwa mwendo huu Tanapa ya Kenya Kenya Wildlife Service inayoongozwa na Mzungu mtoto wa Dr Leaky alieikimbia Tanzania baada ya kugundua miguu ya kali Oldovai, itaendelea kuwa mbele daima.
Angalia walivyotuburuza Doha kuhusu meno ya Tembo? Sasa wanatukataza kuendeleza Serengeti ili Masai Mara ambayo ni kona ndogo ya nje ya mbuga iendelee kufanya biashara mara 10 Serengeti yenyewe. sijui ni kosa la Kikwete au nchi bado?
I wonder wether you really are familiar with TANAPA na kwakua umekuwa objective let me tell you kinachotokea huko. To my opinion hakuna shirika la umma Tanzania linalofanya vizuri excution yake kama TANAPA and please this excellence is relative to Tanzanian's mashirika. Ukumbuke TANAPA jinsi wanavyo fanya hawako katika consrevation kama Ngorongoro conservation ilivyo bali wanafanya kitu kinaitwa preservation = No harvesting of resources at all.
Hivyo revenue yote ya TANAPA inatokana na tourism na so far kati ya hifadhi zote KINAPA na Serengeti ndizo ambazo zinaingiza fedha ambayo ndiyo ina run hifadhi zote za taifa. Kwa total preservation hakuna tena ambayo inaifikia TANAPA hapa Tanzania na niwaambie ukweli kwa jinsi wanavyofanya in other places in the world TANAPA ilitakiwa iwe subsidised na serikali which is not doing that bali wao wana contribute kwenye hazina ya taifa.
Sitaki kwenda in details lakini kuisema vibaya TANAPA nikukosa shukrani na watanzania lazima tujifunze kuwa wakweli. Tuepuke kuongozwa na hisia zaidi na tuwe objective if we want to develop our country. Ukitaka kupata comparison nzuri ya TANAPA basi angalia division za serikali kama wildelife; Tourism na Forest uone jinsi wanavyo lag behind. Na kiukweli hata kwa staff development TANAPA wafanyakazi wao wako far better than all these other divisions.
Tusiwachanganye TANAPA na division za serikali kama wildlefe department ambao kila mara wana makasheshe na vitalu pamoja na wanyama kuuzwa ama kuuawa this are two different organs ndani ya wizara moja ambapo moja inafanya kazi zake vizuri. TANAPA ni conservation agency Tanzania ambayo kila mtanzania anapaswa kujivunia maana hata mataifa ya nje wanashangaa hawa wamewezaje kufanya total preservation bila kuwa subsidised na serikali; ukifanya financial analysis utakuta TANAPA inaendeshwa kwa hasara sana ila siyo objective yao kuzalisha bali kutunza ecosystem ili wengine tuweze kupata ecological services jambo ambalo wengine wenye mandate kama yao wameshindwa kufanya.
Thank you for the enlightment. This picture you paint of ALL being ROSY with TANAPA is what I do not understand. Probably someone with details of mismanagement of our little money may add into this. I am a little bit nosy and someone told me once that wild dogs disappeared from SENAPA after a certain dada mzungu tried a rabies vaccine that turned sour and they died all. All evidene for this vanished off course! The same "scientist" is still in the country because she became a girlfried of another mzungu person who literally owns Serengeti! and no one dares touches him. There is this other scandal of a person who commits atrocities with wildlife in the name of hunting (Not in hunting blocks but deep in National Parks) and he is confident enough to keep evidence in DVDs and video; A muzungu in Mkomazi officially conserving Rhinos and un-officially experimenting on breeding dogs and their wild cousins!!! Rare species of birds only found in selected national parks being illegally exported........ Probably more and more that do not pass through the prying eyes of real patriots. Why don't they come out clear in public FOR or AGAINST the planned road through SENAPA for conservation sake! The slaughter of elephants in Katavi, Death of hippos in Ruaha and Katavi (both are National parks, aren't they?)
What conservation are you referring to here that they have excelled in executing?
Promotion of tourism, I hope is another mandate. There has been efforts to this so far. It is not similar to the previous years but the pace is boerrowed from a snail!
Sorry again for my being a pain in the a** that wouldn't want to go away.
Kazi yako ya kwanza tunataka ukweli wa utoroshaji wa wanyama hai kutoka hifadhini kwenda uarabuni kupitia KIA. Wewe huko sio mgeni, na kwa vyovyote unalijua hili vizuri, ukishindwa kushughulikia hili jitoe mapema aje anayeweza.
Mwinjuma aliimba "mkulima kala mbegu" na " ukipanda bangi utavuna bangi sio mchicha" kwa hiyo hatuwezi hata kidogo kuwaacha hawa watu wachache wale mbegu zetu tukose mbegu za kupanda. Kuiba wanyama hai kuwapeleka nje maana yake ni kuzuia watalii wasije nchini, maana watakuwa wanawaonea wanyama hao hukohuko kwao, huo ni uhujumu mkubwa wa uchumi wa nchi kwa kizazi cha sasa na kizazi kijacho. Tunataka ukweli kuhusu hilo, ukishindwa achia ngazi, kwa maana inawezekana nawe umo kwenye mtandao huo wa wizi wa wanyama wetu hai, kwa kuwa ule wizi uliotokea ni mtandao, ambao ni mrefu na tanapa ni lazima wawe sehemu ya mtandao huo, kama wewe haumo wenzako wamo.
Chukua hatua haraka.
Your analysis is not comprehensive and maybe biased so to speak. Have a look on the following areas that era the foundation of your argument
1. That Tanapa is the super performing organisation than other organisation in the country just because they are not subsidized by the government....do have an idea maybe what are the criteria used to subsidize organisation? did u expect the government to subsidize an organisation that is able to generate income and able to finance itself? How capable your corrupt government will be to subside all its organization if it could be the case?. What achievement has TANAPA obtained in conservation? Do you know that they are destroying conservation areas day after day. To be specific maybe, do have an Idea of Mawening Tented Camp in Tarangire National Park. It the Camp that was build on the breeding habitat of leopard. Tanapa accepted it and they have no were to breed. Is this an achievement in conservation? Illegal hunting in Mkomazi National Park done by Balabuu spearheaded by TANAPA officials and Park Rangers can we also call it an extraordinary performance of TANAPA?
2. That TANAPA though is not subsidized still it contribute to the National Treasurer..in which ways did u think Tanzanian could benefit from TANAPA or existence of animals in National Park? What is the essence of conservation in social perspectives?
3. That TANAPA is performing than forest division and wildlife division....Yes it is and the reason is not management problem in these two divisions but rather financial problem. Look for example the forest division, do you have an idea of the salaries of their staffs who are custodians of the huge areas of forest. Do u know the difficult situation facing these guys who end up being tempted with illegal timber harvesting? Tanapa has a lot of income generating opportunities as compared with forest division...though forest division owns some plantations, it also owns nature reserves and catchment forests that are strictly prohibited for harvesting. Tourism in these forest is not much advanced as for the Wildlife Tourism in national parks. There are no hotels as for national parks, in most cases with deficit funds and other equipments to conserve the forest. All of these together make the forest division to lag behind Tanapa. In plantations it is not that in every year you will harvest and sell timber, the rotation periods of trees is much longer and in average maybe from 15 years. Tanapa accrues revenue everyday from tourism and taxes of the existing hotels in the national parks. This will not be a wise economic comparison between these two parts if you would like to call them so.
4. That we should be proud of Tanapa and not proud of wildlife division due to its under performance especially in the allocation of hunting blocks and quotas and other scandals surrounding the division. I agree that the division is real full of dark deal and these are deals between the hunters and some government officials and even of higher ranks that makes a mere game officer in Twatwa Game Reserve difficult to prevent them. It is an issue that need the management to be reshuffled from the Top. Thank God that they will also establish and independent agency like Tanapa that will maybe resolve all the misconducts existing now and maybe increase its credibility. But also looking at this performance you are painting Tanapa compared to other divisions i.e forest and wildlife...can I stand before the cloud and preach that Tanapa has performed well than wildlife division and forest division while it does not abide to employment procedures as compared to the two? How can rank an organisation to perform more than the other while it has employed 180 employee illegally. An organisation that is dying promoting nepotism in the country.. I sometimes went in Tarangire National Park during my research works and I met this young lady serving as an assistance park ecologist and she was holding a BA. ni History from UDSM. I was a bit surprised to see someone who could be in historical sites that blend her mostly, being in National Park and not even in tourism department but in ecology department something different from her specialization. And in my search I came to be told that she was a daughter of one of the TANAPA board members. This was in 2007. Is this also an extraordinary performance of Tanapa?
Well maybe u must be one among those benefit from this illegal business of Tanapa!