Rais Kikwete amteua Alan Kijazi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA)

Rais Kikwete amteua Alan Kijazi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA)

Sasa naona bora kazi ya uteuzi ifanywe na JF, maana kila anaemteua Rais wanasema ni wale wale tu hakuna jipya.

Mkuu,

Mzee Mkapa alishaweka taratibu nzuri tu za kuwateua watu kama hawa. Ulishaanza mpango wa kutangaza hizi nafasi halafu watu wote wakapata nafasi ya ku-apply. Halafu wanachaguliwa katika ushindani wa CV na utendaji. Kama unakumbuka, wakurugenzi wote wizarani na wale wa Wilaya walishaanza kuajiriwa kwa njia hii.

Aliposhika Kikwete mwaka 2005, wakakosa namna ya kuwazawadia marafiki hivyo kidogo kidogo wakaipuuzia sheria hii na baadaye wale wote walioajiriwa kwa mpango wa kushindanisha wakaondolewa na kuwekwa wakwao. Nakumbuka kuna kurugenzi moja ilikaa kwa zaidi ya mwaka na nusu ikiwa na Acting Director kwa sababu huyo aliyekuwa ana-act hakuwa na sifa zinazotakiwa hapo hapo Lowassa alikuwa anataka yeye ndio apewe hiyo nafasi. Baadaye sana walichukua kilaza mmoja toka mikoani kwenye hiyo nafasi.

Mimi nilikuwa mmoja wa waliyoomba hiyo nafasi mpaka leo sijui maombi yale yaliishia wapi. Kwa kifupi, usitegemee chochote kutoka kwa hawa wanaoteuliwa kwani wanasimamia maslahi ya waliowateua. Ni chungu kile kile ila kilichomo kinakorogwa kidogo halafu anaokota jina.
 
Samahani tena wandugu,

Mwanzoni mwa mwaka huu Bodi ya TANAPA iliundwa baada ya muda wake kuisha. Wajumbe wote wa zamani waliondolewa wakateuliwa wengine. Cha kushangaza ni kuwa hii bodi mpya ina wanasiasa watupu ambao hata shule yenyewe ni haba. Waliondoa maprofesa ambao wangeweza kuwashauri kwa weledi na kuweka vilaza wa kupitisha wanayoyataka. Sasa unategemea nini kutoka kwa Kijazi?
 
hongera kijazi angalau tanapa imepata kiongozi mahiri hana urasimu yuko karibu na watu kwa kweli uteuzi huu wa mkuu wa kaya umekaa vizuri , Kijazi kumuona haitaji kutumia mwezi au wiki km mtangulizi wake ila idara mbalimbali hasa prm amepata pigo

Sifa kama hizo alikuwa nazo huyo mkuu wa nchi unayempa hongera. Eti 'anajichanganya' Tuko wapi sasa?

Unadhani kuwa karibu na watu kutaifanya TANAPA inufaike?

Kwa ufupi nimeangalia mwendo wake ktk shule, naona kila dalili za kwenda vibaya kazini. Naangalia ni lini hiyo BA ya environmental ilianzishwa UDSM, nikaangalia miaka aliyoshika nafasi za miradi hapo TANAPA, nikajiuliza ni lini alisoma MSc (kumbuka akiwa na BA!). Leo hii ni bora kushika TANAPA kweli?

Thread hii itatunzwa na baada ya miaka kama miwili hivi, tutairejea ili tukumbushane.
 
Tena mbona huyu hamuulizi iwapo ana uwezo wa kufanya hili au lile kama mlivyouliza kwa yule Internal Auditor?

Wengine udini mnauweka mbele sana Wakuu.
Huyu Mzenji akili yake iko kwenye dini tu, hebu fikiria utendaji, au karibu upagani kama mimi akili yako iwe na amani.
 
Kama Alan ni wa siku nyingi basi ni mboga kama kawaida ya Tanapa, kuna siku nimetembelea banda la Tangazo la Utalii la Tz katika FITUR ya Madrid, nimeona aibu sana, nilibaki nao dakika kadhaa kuwasaidia japo mimi nilikodiwa nitangaze kampuni ya Spain, dakika chache nao nimeona kuwa wamejileta mabosi tu wa TTB na Tanapa kula, nimeona matumbo makubwa tu.

Hata wageni hawakuwepo kwenye banda letu, badala ya kuletwa vijana wanaojua kuongea lugha na kutabasamu, utafikiri ni maonyesha ya madikteta au wala rushwa wa Afrika.

Kwa mwendo huu Tanapa ya Kenya Kenya Wildlife Service inayoongozwa na Mzungu mtoto wa Dr Leaky alieikimbia Tanzania baada ya kugundua miguu ya kali Oldovai, itaendelea kuwa mbele daima.

Angalia walivyotuburuza Doha kuhusu meno ya Tembo? Sasa wanatukataza kuendeleza Serengeti ili Masai Mara ambayo ni kona ndogo ya nje ya mbuga iendelee kufanya biashara mara 10 Serengeti yenyewe. sijui ni kosa la Kikwete au nchi bado?
 
Mkuu wa Kaya vipi kuhuusu yule mama Kijazi wa MET mpaka leo anakaimu?
 
Ndio maana tunataka katiba mpya.

Nchi haiwezi kundeshwa kama kaya. Nafasi zote nyeti kwa uteuzi, .......

Uteuzi wa raisi hadi lini? Iwe ni opportunity kwa watanzania wote, kila mwenye sifa awe na haki ya kuomba wadhifa (apply), ifanywe screening mujarabu na aliye bora apate kazi. Hii uteuzi inatuumiza sana. Hapa simaanishi kuwa aliyeteuliwa hana sifa, bali process.

Nimechoka.
 
Ndio maana tunahitaji katiba mpya huyo kijazi kathibitishwa na nani kama anafaa, what i know tanapa yote imeoza anza na ajira za pale.... Vitalu... Wizi wa wanyama... Matumizi ya kutisha

anyway hatufaiiiiiiiiiiii
 
Mkuu,

Mzee Mkapa alishaweka taratibu nzuri tu za kuwateua watu kama hawa. Ulishaanza mpango wa kutangaza hizi nafasi halafu watu wote wakapata nafasi ya ku-apply. Halafu wanachaguliwa katika ushindani wa CV na utendaji. Kama unakumbuka, wakurugenzi wote wizarani na wale wa Wilaya walishaanza kuajiriwa kwa njia hii.

Aliposhika Kikwete mwaka 2005, wakakosa namna ya kuwazawadia marafiki hivyo kidogo kidogo wakaipuuzia sheria hii na baadaye wale wote walioajiriwa kwa mpango wa kushindanisha wakaondolewa na kuwekwa wakwao. Nakumbuka kuna kurugenzi moja ilikaa kwa zaidi ya mwaka na nusu ikiwa na Acting Director kwa sababu huyo aliyekuwa ana-act hakuwa na sifa zinazotakiwa hapo hapo Lowassa alikuwa anataka yeye ndio apewe hiyo nafasi. Baadaye sana walichukua kilaza mmoja toka mikoani kwenye hiyo nafasi.

Mimi nilikuwa mmoja wa waliyoomba hiyo nafasi mpaka leo sijui maombi yale yaliishia wapi. Kwa kifupi, usitegemee chochote kutoka kwa hawa wanaoteuliwa kwani wanasimamia maslahi ya waliowateua. Ni chungu kile kile ila kilichomo kinakorogwa kidogo halafu anaokota jina.

Wakati mwingine ni vizuri kufuatilia issues kabla ya ku complain.

As far as I know Kijazi na wengine wali apply hii nafasi na walifanyiwa interview tena at different stages walipitia mchujo na majina yalikuwa droped kila baada ya stage moja na baadaye majina yalifanya vizuri yali pelekwa kwa kuthibitishwa huko process ya kuthibitisha siifahamu vizuri lakini hizo preliminary stages zote nilizishuhudia zikifanywa so kusema kapewa tu is not true, ukisema interview haikuwa objective labda utakuwa na point kwani nafahamu one of the applicant is an associate professor (in that specific field of natural resources) of one of the public universities in Tz.

Huyo kwa CV ana m-beat Kijazi by far na experience ya kufanya kazi serikalini tena kwenye wizara hiyo hiyo. Lakini kwenye interview hawaangalii hiyo tu kuna pia PR ya mhusika na huyo profesor kidogo kwasababu ya misimamo watu wengi hawa mwelewi wakati Kijazi ana record nzuri kwenye kazi na mahusiano na wenzake.
 
Ndio maana tunahitaji katiba mpya huyo kijazi kathibitishwa na nani kama anafaa, what i know tanapa yote imeoza anza na ajira za pale.... Vitalu... Wizi wa wanyama... Matumizi ya kutisha

anyway hatufaiiiiiiiiiiii

Mkuu TANAPA na vitalu tangu lini vikahusiana? So far kwa conservation TANAPA wanajitahidi sana. Popote walipo kazi zao zinatia moyoila tu nadhani tourism department inapaswa kuboreshwa maana huko bado hawajai advertize TANAPA kiasi cha kutosha.
 
Next time atakuteua wewe ili uridhike!
I will decline any appointment by JK

NIko zaidi ya hapo unapoangalia wewe.... usione watu tupo JF ukaona ni watu unaodhania wewe... I cant accept JK appointment, he has failed me, failed the nation and failed our morals

NItaomba kazi nishindanihswe na nishinde... kama ni uteuzi alimteua hata mwizi kuwa right hand man wake..... and i am not one of them maddam
 
hongera kijazi angalau tanapa imepata kiongozi mahiri hana urasimu yuko karibu na watu kwa kweli uteuzi huu wa mkuu wa kaya umekaa vizuri , Kijazi kumuona haitaji kutumia mwezi au wiki km mtangulizi wake ila idara mbalimbali hasa prm amepata pigo
mkuu kumbe issue ni kumuona na sio utendaji??

hahahaaaaa... Nyerere alisema kama mnampenda nendeni mkanywe nae chai....LOL
 
Wakati mwingine ni vizuri kufuatilia issues kabla ya ku complain. As far as I know Kijazi na wengine wali apply hii nafasi na walifanyiwa interview tena at different stages walipitia mchujo na majina yalikuwa droped kila baada ya stage moja na baadaye majina yalifanya vizuri yali pelekwa kwa kuthibitishwa huko process ya kuthibitisha siifahamu vizuri lakini hizo preliminary stages zote nilizishuhudia zikifanywa so kusema kapewa tu is not true, ukisema interview haikuwa objective labda utakuwa na point kwani nafahamu one of the applicant is an associate professor (in that specific field of natural resources) of one of the public universities in Tz. Huyo kwa CV ana m-beat Kijazi by far na experience ya kufanya kazi serikalini tena kwenye wizara hiyo hiyo. Lakini kwenye interview hawaangalii hiyo tu kuna pia PR ya mhusika na huyo profesor kidogo kwasababu ya misimamo watu wengi hawa mwelewi wakati Kijazi ana record nzuri kwenye kazi na mahusiano na wenzake.
Hizi hoja zako zina utata sana..................................yaelekea suala hapa siyo sifa ila ni kujuana.........................sasa kuna uhaja gani wa kutangaza kwenye magazeti halafu baadaye mseme yule profesa hafahamiki na masuala ya pr mara nyingi kwa nchi yetu ni lazima uwe mnafiki ili ukubalike.............................utaratibu wa kupata viongozi humu nchini bado una kasoro kubwa na ndiyo maana nchi yetu inaendelea kuwa masikini kwa sababu tumeshindwa kubuni mfumo ambao utaondoa upendeleo katika upatikanaji wa viongozi.................................

Bodi za taasisi za umma huteuliwa kwa kufahamiana na wajumbe hao wala hawana uhusiano na shughuli wanazokwenda kuzisimamia.............sasa unategemea zitaweka masilahi ya taifa mbele katika kuteua viongozi wa taasisi hizo wakati wenyewe hakuna utaratibu shirikishi na wazi wa kuwateua wajumbe wa Bodi........................waziri husika hujaza Bodi na jamaa zao ......................na JK kwa uroho wa madaraka hupitisha mapendekezo anayopelekewa huku wahusika hata hawafahamu hata chembe............sasa Taasisi ya Raisi haipaswi kushiriki kwenye teuzi hizi ambazo misingi yake hata wao hawaifahamu.........................na teuzi hizi zinapoleta mushkeli baadaye utakuta Taasisi ya raisi inatupiwa lawama ambazo siyo za lazima.........................kwa sababu ya kujirundikia madaraka.......................this is not about whether the appointees are good or not it is about the endemic corrupt system we are dealing with from bottom to the real top........................
 
Wakati mwingine ni vizuri kufuatilia issues kabla ya ku complain. As far as I know Kijazi na wengine wali apply hii nafasi na walifanyiwa interview tena at different stages walipitia mchujo na majina yalikuwa droped kila baada ya stage moja na baadaye majina yalifanya vizuri yali pelekwa kwa kuthibitishwa huko process ya kuthibitisha siifahamu vizuri lakini hizo preliminary stages zote nilizishuhudia zikifanywa so kusema kapewa tu is not true, ukisema interview haikuwa objective labda utakuwa na point kwani nafahamu one of the applicant is an associate professor (in that specific field of natural resources) of one of the public universities in Tz. Huyo kwa CV ana m-beat Kijazi by far na experience ya kufanya kazi serikalini tena kwenye wizara hiyo hiyo. Lakini kwenye interview hawaangalii hiyo tu kuna pia PR ya mhusika na huyo profesor kidogo kwasababu ya misimamo watu wengi hawa mwelewi wakati Kijazi ana record nzuri kwenye kazi na mahusiano na wenzake.

Sorry my friend,

DG wa TANAPA ni mtu muhimu sana katika uchumi wa nchi. Also, they have money to pay any "dude" of internmational calibre if they wanted to get value for money. Sikuona tangazo magazetini (At least in The East African,.....). Naona utaniambia kulikuwa na the so called "Search team" ambayo inatekeleza wanayoyataka walio-appoint hiyo team. This system has been used in the past to put into power incompetent persons on the pretext that it was competitively won.

Kwa upande wangu, kigezo cha kuwa na uhusiano mzuri na wenzake kingemtolea mbali kwani yeye ni part and parcel ya madudu yote yanayofanyika TANAPA. Kama tutapenda tuendelee, inabidi tukubali kuwa "in-breeding" inaharibu fikira za maendeleo. Tujaribu kupata NEW ideas from those "without" who know something different. What I can tell you is that this guy has nothing new to offer to TANAPA. He will maintain the "status quo" while the rest of the world is moving forward. In the end, it will not be a status quo anymore but a decline in status (change in "y"/change in "x" progressively becomes negative).
 
Read my post kuwa interview walifanyiwa hayo ya how they do now that is discussable but to say was just appointed was really misleading and that was what your complain was about. Hii search process haifanyiki TZ tu lakini tukumbuke however the process can be bado bila social capital yote hayo hayawezekani itabakia tu kuwa process to fufill the time table lakini si ku add value into it.

Kama umepitia kidogo organisation theory basi managerial post evaluation ni zaidi ya kuwa na CV kubwa na nzuri. Kama ulivyosema DG is an important person kwani hiyo nafasi inatakiwa mtu anayejua diplomacy na pia awe na negotiation skills nzuri ndiyo maana PR is more important kuliko hata professionalism maana kwa technical issues wako professionals kwenye shirika. So to be frank with you kati ya hawa wawili kama mimi ningekuwa kwenye interview still ningempa Kijazi kwani he is more broader kwenye ujuzi wa mambo kuliko prof kwani prof is specialesd wakati Kijazi is trained as an interdisciplinary personel, he can speak all languages kuanzia politics; science; social and economics. Ametengenezwa kuangalia problems in 3D na amefanyia kazi hiyo taaluma yake he is more a manager than a spcealist so ni rahisi kuleta intergration kuliko specialist ambaye all the time decision zake zitakuwa biased kwenye profession yake.

Well unasema uhusiano mzuri ungemtoa sijui unachoongelea kama kiko acceptable hasa kwenye political post ya shirika kama DG. Do you know conflicts ni chanzo kikubwa cha ku raise administration costs? Je unajua negotiation skill ni zaidi ya kuwa mechanical na through this you can easly win even the enemies? Hapo itabidi tukubalianae kutofautiana kwani for me uhusiano mzuri unatengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi kwa kujiamini na hivyo kuwawezesha wao ku-exercise talents zao at more than 90% efficiency.

katika organization theory hicho ndicho kigezo cha kwanza katika kumteua kiongozi. Acording to organization theory “big five” personality traits of a gud leader are; surgency, conscientiousness, agreeableness, adjustment and intelligence. Sasa hapo sijui kama mahusiano mazuri ni kigezo cha kumwondoa mtu kwenye position ya u DG. Na kusema ukweli katika yote academics=intellingence measured in tha form of CV ni moja kati ya vitano let say prof ali score 98% na kwingine akapata chini hapo utasema hao interviewers walikuwa subjective? Yes subjectivity ipo hata ukifanayaje maana hii si mathematics lakini zina jinsi ya ku control zisiwe extreme. Mimi si part ya hiyo team lakini wote hao nimebahatika kufanya nao kazi na fortunately wote are my good friends.
 
Back
Top Bottom