Karibu, Mh Lissu anakusubili kwa hamu hapo Mjengoni.
Wale wadini wenzangu karibuni hapa tumseme kikwete kwa UDINI wake;
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam. Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sisikii KELELE ZA UDINI KWENYE UTEUZI HUO SASA
MAKAFIRI CHUKI SANA AISEE
Konyo hwisike hulipa kuliesa
Hahaha......Leo ndio umeua kabisa, hii sio keyboard tena ni makusudi
Huyu jamaa sijawahi kumwelewe,na ndhani sitokaa nimwelewe. Anaadika vitu anavyovijua mwenyewe. Pdidy bana..Leo ndio umeua kabisa, hii sio keyboard tena ni makusudi
Rais Kikwete mdini sana serikalini kajaza Wakirsto watupu.Rais Jakaya kikwete amemteua George Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali katika uteuzi uliotangazwa punde. Nawawekeeni taarifa nzima ya uteuzi soon
Atakua kamteua MSALANI
Na huyo ni mtu wa musoma tena kama werema..kikwete ni mkabila sana. Anapendelea watu wa musoma kama nini sijui
Wale wadini wenzangu karibuni hapa tumseme kikwete kwa UDINI wake;
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam. Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hongera ndugu kwa kutujuza TZ haina Udini Bali wachache wetu roho zimejaa choyo za Kishetani
Unajua sisi Watanzania alieturoga sijui ni nani, angechaguliwa Ahmed Shaaban Ally mada inehama tungesema Kikwete anajaza Waislamu sasa amechaguliwa George umekimbilia kwenye ukabila, wewe huwezibebeka hata kwa mbeleko ya chuma
Kikwete kikwete kikwete anafuga wezi Magogoni.